Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hah haha""..Karibu sana ukubwani aisee
Wenzio tulikutangulia kitambo kidogo...
hah haha""..Karibu sana ukubwani aisee
Wenzio tulikutangulia kitambo kidogo...
Mazingira yapi sasa ...hahaha inamaana bado Anataka kutoka na Dogo Dogo ...""!?Au uwe unapaka picco kama zinakuharibia mazingira
Dogo mimi siyo babu bwana!Sawa BABu Malcom
Super Black napaka kila muda, hizi mvi zipo kwa mbele hapa itafika kipindi nitaachia tu.Hahahaha, mkuu na wewe mzee wa Black Magic, Super Black au Picco ?? Leo nimejiangalia nkashidwa kuchukia ikanibidi nicheke tu.
Hahahah, inabidi tuziachie tu sasa maana hakuna namna.Super Black napaka kila muda, hizi mvi zipo kwa mbele hapa itafika kipindi nitaachia tu.
Dogo mimi siyo babu bwana!
hahh yeah inabidi tukubali kutoshindana na umri tu!..Hahahah, inabidi tuziachie tu sasa maana hakuna namna.
Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.
Hivyo mkuu wewe una ruhusa kufikiria vyovyote vile utakavyo kuhusu Malcom (Babu, katoto au kijana)
Heshima yako mkuuWasalaam.
Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia vizuri nakutana na mvi kibao sana huku kichwani, nikajua tu labda ni nyuzi ya Blanketi lakini kuangalia nakuta mvi kabisa kabisaa.
Nkaishia kutabasamu nakujisemea kwamba ninaanza kuzeeka sasa na siwezi kurudisha tena muda nyuma, kujiangalia vizuri nakuta hadi makunyanzi yameanza usoni. Nimeondoka nacheka tu maana juzi tu nilikuwa na kichwa cheusii na uso usio na makunyanzi mengi.
Leo nimewaza kwamba unaweza ukajihisi una muda mwingi sana na bado kijana, lakini uzee huwa haupigi hodi jamani....
Jamani Espy wangu weeh, nimekumiss sana!Shikamoo babu lumumba.
Longtime no see, comrade Da'Vinci.Heshima yako mkuu
Sure thing mkuu.Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.
Mizigo yako niliyokutumia umeipata lakini ndugu yangu ???hahh yeah inabidi tukubali kutoshindana na umri tu!..
Thank you..Longtime no see, comrade Da'Vinci.
Happy to see you here
Naah man,Hapo totoz za umri wa kati 20 -25 yrs ndio uzisahau kabisa anza kutokea wajane na masingo maza
Hahaha Da' Vinci bwana.Thank you..
Happy to see you here too..
Mkuu utakua ww ni aina ya mshua ambae umezeeka lakini hutaki kukubali