Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Ukubwa haupigi hodi, Mvi zimeanza kunitoka kwa wingi

Nimefikiria kuleta picha leo asubuhi lakini nikaona niahirishe tu.
Hivyo mkuu wewe una ruhusa kufikiria vyovyote vile utakavyo kuhusu Malcom (Babu, katoto au kijana)
Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.
 
Wasalaam.
Leo nimeamka mapema najiandaa kwenye kwenye mihangaiko. Sasa nimetoka kuoga nachana nywele, nikasema nisogee kwenye kioo, japo binafsi sina huo utamaduni wa kupenda vioo. Ile kujiangalia vizuri nakutana na mvi kibao sana huku kichwani, nikajua tu labda ni nyuzi ya Blanketi lakini kuangalia nakuta mvi kabisa kabisaa.

Nkaishia kutabasamu nakujisemea kwamba ninaanza kuzeeka sasa na siwezi kurudisha tena muda nyuma, kujiangalia vizuri nakuta hadi makunyanzi yameanza usoni. Nimeondoka nacheka tu maana juzi tu nilikuwa na kichwa cheusii na uso usio na makunyanzi mengi.

Leo nimewaza kwamba unaweza ukajihisi una muda mwingi sana na bado kijana, lakini uzee huwa haupigi hodi jamani....
Heshima yako mkuu
 
Mkuu, hatuwezi kushindana na wakati, ujana una mda mfupi sana, kuanzia 18yrs - 35yrs ni mda mfupi mno. Kufumba na kufumbua unajiona upo 30s, life is so fast. Wala hakuna sababu ya kupaka kwa sababu ndio utazidi kuziongeza.
Sure thing mkuu.
Yaani kama ukizubaa unaweza jikuta hujafanya kitu cha msingi.
 
Hapo totoz za umri wa kati 20 -25 yrs ndio uzisahau kabisa anza kutokea wajane na masingo maza
 
Hapo totoz za umri wa kati 20 -25 yrs ndio uzisahau kabisa anza kutokea wajane na masingo maza
Naah man,
I'm very content with Mrs Lumumba, kufukuzana na totoz za 20's ambazo zina umri sawa na watoto wangu siyo ishu.
 
Thank you..
Happy to see you here too..

Mkuu utakua ww ni aina ya mshua ambae umezeeka lakini hutaki kukubali
Hahaha Da' Vinci bwana.
Sasa ntakataaje matokeo ya uumbaji ???
I'm old (Japo siyo kivile) and not ashamed of it.
Just thankful to God to have made it this far maana kuna wenzangu nimesoma nao wameshatangulia mbele ya haki.
 
Back
Top Bottom