Ukumbi wa Papa: Ndiyo Utambulisho wa yule Nyoka wa Eden?

Sawa bhana!!!,Kila heri.
 
ndio sku zote inavyokuwa
wanapaswa kutambua hamna msabato hapa
Sijui kwanini huaga mnadhania kila anae andika kuhusu RC hua mnadhania ni MSABATO; now to answer your question ni kwamba huyo mtu (Hellen G. White ) namchulia kama nabii wa UONGO kama walivyo manabii wengine wa UONGO. Una swali lingine?
 
Mkuu kuna scenario Mawingu hukaa shape mbali mbali na watu huspot hizo shapes..

Huenda ikawa niimetokea tu na wewe ukafananisha..
 
Tukisema hapa kuna watu watadai tunakashfu imani ya watu ila kanisa katoliki siyo dhehebu sahihi kimaandiko hata huyo nyoka anasadifu ni nani kiongozi wake rejea ktk biblia yule anayetajwa kama nyoka ni nani ukimfahamu basi huyo ndiye
Ufunuo 17:18
 
Dini mbili kubwa duniani, ukatoliki na uislamu zimeingiza upagani mwingi sana ndani yao.
Upagani, upi? Unaweza niambia katika bible au quran wapi mwanamke alisimama mbele ya madhabahu kusalisha.
Lskini leo kuna maaskofu,eti wachungaji wainjiristi. Njoo na utetezi wa kibible au quran
 
Ati nyoka ni mwerevu sana kuliko wanyama wengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…