Unaweza fananisha hio pattern na kitu kingine ukiacha nyoka?
Tunafaham kuwa ubongo huwa una kawaida ya "Ku assign meaning" from "patterns"
Lakini kuna aina mbili za pattern....tuna random patterns, hizi hazina Creator
Ni product ya chance/nature
Kama sura ya MTU mwezini,sura ya nyerere kwenye mti etc...
Ila kuwa designed patterns,mfano sura yako..
Michoro au emoji...
Sasa designed pattern huwa ni intended,yaani zimeundwa kuonyesha hicho unachokiiona
Na haiwezekani kwa watu wawili kuona picha tofauti kwa sababu bongo zetu zinatumia same Mechanism...
Ndio maana nikauliza hapo juu unaweza kuona picha nyingine tofauti na nyoka?...umeona tembo?
Ndipo tunaporudi kwenye Maada
Huo ukumbi wa papa,wahandisi wake walitaka uone unachokiiona,hizo ni design patterns
Sasa swali linakuja kwanini "Nyoka"?
Unonekana unautazama ulimwengu kupitia tundu la kitasa
Your view of reality is very limited