Ukurasa wa Serikali 'Tanzania Government' uliotumika kutangaza kutafutwa Kigogo2014, wafutwa

Hongera usie penda udaku ila una comment kwenye udaku,

Account ya serikali ambayo ni verified na fb, harafu unasema tunapenda udaku, ila Mataga dah bado safari ndefu
 
Mimi binafsi sikuamini kama serikali inaweza kuweka tangazo wazi vile tena unprofessional, Lakini maswali yakuja kuwa nani ali verify ile account kule facebook, Verification ni Process tena kwa page kama ile ya government of Tanzania inafikirisha sana ni kama kipindi kile tunaelekea uchaguzi mkuu, Page za activists wengi zilikuwa verified kwa kupewa blue tick kule twitwani
 
Nimeliona hilo Tangazo la Serikali.
Nilichofanya ni kucopy hiyo picha ya kigogo,nikikutana naye njiani niripoti polisi nipate "zawadi nono"
Haaaahaaaa umetisha mkuu! Mwenye hip picha kama ndiyo kigogo yupo marekan we panda ndege tu ukambebe
 
Solution ni kusafisha usalama wa taifa.
 
Kwani alikwambia anataka mashabiki?
 
Haha swali likitoka anachaguliwa mtabe wa kujibu ha ha ha ile inaitwa MVURUGO STYLE we angalia muda wote yupo online hujiulizi
Sizani yaani jaribu tu siku kumuuliza kuhusu hilo utajua
 
Kuna masharti gani magumu kufungua Akaunti FB au ndiyo ujuaji usio na kichwa wala miguu na tu kiingereza huto kwenye maelezo Yako sijui verified,blue tick,logic,etc.?
 
Andika logic acha assumptions za sijui akili imetekwa au kupenda udaku.

Nikiandika assumptions kama wewe kwa unachoking'ang'ania ninaona kwamba haujui kua Tanzania isingekua nchi ya kwanza kua na ukurasa mtandaoni.

Haujui kwanini account verification inafanywa.

Haujui blue tick ni ya kazi gani.

Hauna uelewa juu ya social networks.
 
Walishindwa waislaeri wataweza hao waliosomea UDOM [emoji23][emoji23]
 
Kuna masharti gani magumu kufungua Akaunti FB au ndiyo ujuaji usio na kichwa wala miguu na tu kiingereza huto kwenye maelezo Yako sijui verified,blue tick,logic,etc.?

Mimi nilichoandika kipo wazi, kama hauna akili ya kukielewa siyo kosa langu ni lako.
 
Watanzania nipeni Muda huku mkiandaa hiyo zawadi nono ... Sina ajira na tafiti nimeshaanza kuna namba inatumika tigo.. Mtumiaji anaitwa tigo pesa. Na huyu mtu kuna kipind alkuw mfukunyuku wa ripot za Kenya. Kuna member hum jf namshuku ukaribu nae (nao). Nipeni mda [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Arudishe nchi katika wizi na ukwepaji kodi, na unyanyasji wa mama ntilie ilihal wezi mkinyenyekewa.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Castle ni Shida
 
Bongo ina watu vihande sana wa kufikiri tuwavumilie tuu Mkuu yaani kigogo eti anahitaji umaarufu tena?
 
that's, not a solution, bila shaka wewe umo ndani ya hilo kundi, usitegemee kwamba hayo yatafanyika, hao vigogo hawatopata chochote wanacho kihitaji serikalini.
 
Arudishe nchi katika wizi na ukwepaji kodi, na unyanyasji wa mama ntilie ilihal wezi mkinyenyekewa.


Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani Wanyonge hamtaki kabisa kuona na sisi tukiishi maisha mazuri! Mnataka muishi nyinyi tu. Haya sasa mtetezi wenu hayupo. Ni wakati kwenu sasa kuishi kwa kujitegemea na kufuata sheria za nchi.
 
siku zake zina hesabika, ni bora ajitokeze tu kama kweli ni jasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…