gachacha
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,584
- 3,977
Hongera usie penda udaku ila una comment kwenye udaku,Kwa mwenye akili anajua hiyo ni michezo ya Kigogo mwenyewe, anataka kujiongezea nguvu aonekane mtu mzito sana.
Serikali ingetaka kutangaza wangetumia structure yake inayoeleweka wangemtumia msemaji wa jeshi la polisi au account za tanpol ambazo mpaka sasa zipo kimya hazijasema lolote.
Yani taarifa imetangazwa Jumamosi na account imefutwa usiku hahahaha jamani serikali haifanyi mambo yake namna hiyo acheni upumbavu wa kumeza kila tango.
Washawajua watanzania mnapenda sana udaku na mpo radhi kuupambania udaku uwe ukweli kwa kuwa tu mnaupenda.
Kuna baadhi walifananishwa na nyumbu kwa mahaba yao yaliyopitiliza.
Account ya serikali ambayo ni verified na fb, harafu unasema tunapenda udaku, ila Mataga dah bado safari ndefu