Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

kivuko cha mv bagamoyo
kituo cha mafuta mwanza
meli ya uvuvi ya wachina
kuunganisha mifuko ya kijamii
kubomoa jengo la TANESCO ubungo
Hivi hicho kituo cha mafuta mwanza bila kubomolewa barabara ya Airport ingepanuliwa kweli? Hata jengo la TANESCO sijui unamaanisha nini au ndo siasa zenu uchwara! Sasa tuambie huyu asiyebomoa kajenga nini? Hilo jengo la TANESCO lilipobomolewa tena wing moja tu iliyoingia dani ya hufadhi ya barabara ulipungukiwa nini?
 
Jibu hoja acha hasira uchwara, nimeorozesha mambo mengi wewe unajibu moja?
kupora korosho za wakulima bila kuwa na uhakika wa soko
 
Hivi mtafanikiwa kweli hii kazi mnayoifanya?[emoji24][emoji24]
 
Wewe unayejua uchumi na kwa akili yako uchumi chini ya Samia na Mwigulu ni mzuri? Naomba maoni yako mbobevu wa uchumi!?
[/QUOTE]
Atafanya nini SAsa wakati tayari hali ilisharibika,
 
Na bado kwenye madini. Alifuta Retention Licenses. Makampuni yote yaliyofutiwa yalienda kwenye mahakama ya kimataifa. Kwa aibu, marehemu akaomba mazungumzo nje ya mahakama. Akataka waje nchini awarudishie maeneo lakini waombe Mining Licenses ili waanze kuchimba. Makampuni mengi yakakataa, akaishia kuyalipa kimya kimya, huku wajinga wakiendelea kuamini kuwa alifanya mambo makubwa kwenye madini.
 
Kama symbion waliilipa zaidi ya billion 300 ndani ya wiki moja bila kufuata utaratibu hata hizi watalipa tu
 
Nchi ilikuwa katika laana:

Rais PhD fake - JPM
RC cheti fake - Makonda
Mawaziri vyeti fake - Mwigulu, Kigwangala
Uchaguzi fake
Madai fake - Kabudi alithibitisha
Uzalendo fake - CAG alithibitisha tulikuwa na Rais mzalendo fake, mporaji wa fedha za umma
Ununuzi wa korosho fake
 
Mwacheni tu.. huyu alishindikana...
 
Unamimba ya magufuli?
 
Wewe taahira umekariri vyeti feki tu, huyu kichaa wenu mwenyewe alidesa ile PHD yake ya mchongo. Na kwa taarifa yako mimi sijawahi kuajiriwa na serikali wala mashirika yake naitumia elimu yangu kujiingizia kipato si haba na kuna watu nawalipa mshahara. Na sina mrengo na utawala uliopo pia ndiyo maana mtu yeyote akiboronga nasema kwani siishi kwa fadhila ya watawala kama wewe uliyeachwa yatima na yule dhalimu aiyekufa kibudu. Bwege wewe na wote wenye akili maiti kama wewe.
 
well said
 
mtu aliye ajiri watu huwa jaitangazi kwa umma;tumia elimu yako vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…