Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Ukurupukaji wa Hayati Magufuli unavyozidi kuligharimu taifa hata baada ya kifo chake

Nchi ilikuwa katika laana:

Rais PhD fake - JPM
RC cheti fake - Makonda
Mawaziri vyeti fake - Mwigulu, Kigwangala
Uchaguzi fake
Madai fake - Kabudi alithibitisha
Uzalendo fake - CAG alithibitisha tulikuwa na Rais mzalendo fake, mporaji wa fedha za umma
Ununuzi wa korosho fake
Ulivyo laanika wewe na ukoo wako unafikiri ni nchi nzima?
 
Mwambie mamako kufeli kwake asijifiche kwenye mgongo wa jpm!

Mbona Dowans sijui Richmond mmewalipa?

Mataahira nyie
Kama nakuona ulivyofura baada ya kuguswa, hahahaahah eti cheti feki cha mama yake, umesahau na madawa ya kulevya au muuza nganda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wewe taahira umekariri vyeti feki tu, huyu kichaa wenu mwenyewe alidesa ile PHD yake ya mchongo. Na kwa taarifa yako mimi sijawahi kuajiriwa na serikali wala mashirika yake naitumia elimu yangu kujiingizia kipato si haba na kuna watu nawalipa mshahara. Na sina mrengo na utawala uliopo pia ndiyo maana mtu yeyote akiboronga nasema kwani siishi kwa fadhila ya watawala kama wewe uliyeachwa yatima na yule dhalimu aiyekufa kibudu. Bwege wewe na wote wenye akili maiti kama wewe.
Hizi hasira zote ni sababu alikubutua akakucha bila urithi?
 
Kwani huyo Magufuli ndie anayeendelea kuwafanya hawa wa sasa washindwe kulipa hicho tunachodaiwa?

Magufuli alikuwa sehemu ya tatizo ambaye alishapita, CCM kiini cha tatizo bado tunayo, badala ya kuhangaika na kiini cha tatizo, mnahangaika na sehemu ya tatizo ambayo ilishapita, ajabu kutwa kujiita GT wa JF!.

Pesa nyingi za walipa kodi huwa zinachezewa na serikali ya CCM, hasa ripoti za CAG hutuonesha na wahusika hawachukuliwi hatua zozote.

Kwanini wasitoe sehemu ya hizo pesa wanazochezea wakalipe hayo madeni badala ya kuacha pesa nyingi ziishie kwenye matumbo ya wachache kila mwaka?

Kama wewe na wenzio mnamuona Magufuli alikuwa ni tatizo, kwangu CCM na serikali yake inayowalinda wezi ni tatizo kubwa zaidi.
Kwanini ile 1.5tr ambayo Jiwe na gang lake waliipiga wasingelipa hayo madeni?
 
Kama nakuona ulivyofura baada ya kuguswa, hahahaahah eti cheti feki cha mama yake, umesahau na madawa ya kulevya au muuza nganda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie mataahira mna kazi sana
 
Mimi sishauriki kabisa, na ukinishauri ndiyo umeharibu kabisa
Safi sana! Huyo ndio rais sasa!

Siyo hawa pimbi wa sasa hivi wanaoshauriwa na kina Makamba na Nape
 
Wewe tafuta hela acha kulia lia hapa! Lini serkali inagawa hela! Sema tu serkali ya bibi yenu haijui inachofanya!
Wewe mjane wa dhalim ndiyo huna hela unalia lia tu nenda kaombolezee huko kaburini kwake bwege wewe
 
Back
Top Bottom