Watu kama hawa si wanafuata mkumbo kusikia magu anachukiwa basi nao wanamalizia hasira za umaskini wao hapo kila mmoja ana mapungufu yake magu alizingua kwa upande fulani na nikawaida kwa viongozi wa afrika panapostahili pongezi apewe anapozingua aambiwe kama mama yetu anapenda kusifiwa kwakua ni binadamu na ana mapungufu yake piaNgano tunategemea ya Ukraine na Russia unadhani wanalimia mikono?
Yani ungekataa vyote ila apo kwenye umeme wa Nini mkuu umefeli sana futa kauli yako kabisa Yani ata wenzako wasio mpenda magu hawato kuunga mkono
Sio kitengo tu na mapopoma kibao wanatofautiana misimu tu kipindi cha jpm walikuepo waliosifia hadi ujinga unaotuumiza na hivyo hivyo serikali hii pia wapo kusifia hata visivyofaa kusifiwa ila mwisho wa uongozi utaona wanaibuka wengine wa kumsifia na wengine watampondaChawa wa Samia
Kuna Mu Iran mmoja yuko uhamishoni Canada. Alikuwa ndugu wa ufalme na mwana usalama kabla hajakimbia alipokosana nao.
Anasema kwenye documentary ya NETFLIX kwamba serikalini Iran wana ofisi ya IT kazi yake ni kutuma maelfu na maelfu ya ma post ya kuupamba utawala, na kupinga wakosoaji, na wanayatuma kana kwamba kuna watu weeengi wanaunga mkono utawala. Kama hicho kitengo hakipo serikalini URT basi kipo CCM, I bet everything I have on this.
Na hizi pesa mnazokopa kila siku mnapeleka wapi? Kama hamtakaa mkafikiria mtalalamika wee mpaka kiporo kinaisha 2025 hii hapa.Ugumu wa maisha unaendelea mtaani kwa wengi yeye ndie chanzo kwa kupeleka pesa nyingi Sana kwenye miradi. Na miradi yote imepeleka pesa nje kwenye nchi zao kununua vifaa vya miradi.
Pesa zote zile zingebakia nchini kuchochea uzalishaji kupitia nguvu Kazi ya ndani, maisha yasingekuwa magumu kiasi hiki.
Jingakivuko cha mv bagamoyo
kituo cha mafuta mwanza
meli ya uvuvi ya wachina
kuunganisha mifuko ya kijamii
kubomoa jengo la TANESCO ubungo
Jizi kazini.Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa.
Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo aliyechezewa rafu na mwendazake ni wa kimataifa na anaishtaki Serikali.
Leo tena tumeona ndege ya Tanzania kukamatwa nje ya nchi baada ya serikali ya Magufuli kuvunja mkataba bila kuzingatia sheria mwaka 2016.
Na bado mengine mengi yanakuja, soma hapa.
Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania
Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...www.jamiiforums.com
Umekaribia kuzaaaa tu mimba ya marehemuNchi ilikuwa katika laana:
Rais PhD fake - JPM
RC cheti fake - Makonda
Mawaziri vyeti fake - Mwigulu, Kigwangala
Uchaguzi fake
Madai fake - Kabudi alithibitisha
Uzalendo fake - CAG alithibitisha tulikuwa na Rais mzalendo fake, mporaji wa fedha za umma
Ununuzi wa korosho fake
Tumieni hizo phD mlizopata kutatua changamoto za Watanzania.Tangu akiwa Waziri Magufuli alifahamika kama mtu mkurupukaji mwenye kufanya maamuzi ya pupa kwa hasira na kukomoa.
Hii sio iliumiza watu wengi tu bali pia kuitia hasara serikali pale ambapo aliyechezewa rafu na mwendazake ni wa kimataifa na anaishtaki Serikali.
Leo tena tumeona ndege ya Tanzania kukamatwa nje ya nchi baada ya serikali ya Magufuli kuvunja mkataba bila kuzingatia sheria mwaka 2016.
Na bado mengine mengi yanakuja, soma hapa.
Mashauri sita yaliyosababishwa na Serikali ya John Pombe Magufuli: Kugharimu mabilioni ya kodi za Watanzania
Habari Wana JF, Bila shaka wengi mnafahamu kuwa Serikali ya Tanzania maarufu kama Serikali ya Magufuli ilitenda kwa kutanguliza nguvu, vitisho na weledi duni hasa katika kudeal na majadiliano ya kibiashara na wawekezaji mbalimbali. Matumizi ya nguvu yalichagizwa zaidi na kutungwa kwa sheria...www.jamiiforums.com
Ondoka hapo nyumban kwa shemejibalikoolewa dadako ndio utajua umuhimu wa umemeTafuta pesa na ununue generator na uchimbe kisima, achana na habari za kumlilIa mungu wako wa mchongo aka Jiwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Jaziba zipi sasa?Acha jazba sukuma gang, dhalimu alikuwa sio.
Akili yako ni mazagazaga kama lilivyo jina lakoWe nae punguwani kabisa. Ndiyo umeandika maujinga gani haya?
Aliyesabasha ndege ikamatwe ni jpm wako aliyekurupuka kuvunja mkataba 2016. Huu ndiyo ukweli!
Ulivyo wewe mrs basi unafikiri kila mtu ni mrs?Pole MRS JPM!
Jizi kazini.
hata uibe vipi utaliwa na funza tu
Wanyonge mbona mnashikwa na uchungu Sana mungu wenu anaposemwa? Vumilieni, maovu yake ni mengi Sana na tutayaanikaUmekaribia kuzaaaa tu mimba ya marehemu
It won't save any purpose.Wanyonge mbona mnashikwa na uchungu Sana mungu wenu anaposemwa? Vumilieni, maovu yake ni mengi Sana na tutayaanika
Bado kesi za walioporwa mali zao baada ya Azimio la Arusha na Mapinduzi ya Zanzibar zitakuja tu siku moja.
Kwani Magufuli ndiyo aliye sign hiyo mikataba ya kiunyonyaji!!? Tena Magu alifanya vizuri sana kuivunja angalau na sisi tumejua kumbe kuna watu wali sign mikataba ya hovyo sana hadi kesho itaendelea kuligharimu Taifa!!Yule alikuwa hamna kitu
Mikopo ni biashara za watawala kutakatishia kodi zetu,wao ukopa kupata 10% wataondoka madarakani mzigo watabeba walipa kodiNa hizi pesa mnazokopa kila siku mnapeleka wapi? Kama hamtakaa mkafikiria mtalalamika wee mpaka kiporo kinaisha 2025 hii hapa.
Nani kasema kilimo ni cha mkono.Ngano tunategemea ya Ukraine na Russia unadhani wanalimia mikono?
Yani ungekataa vyote ila apo kwenye umeme wa Nini mkuu umefeli sana futa kauli yako kabisa Yani ata wenzako wasio mpenda magu hawato kuunga mkono