Tetesi: UKUTA: Kofia na Tisheti za kuzuia mabomu ya machozi kusambazwa

kujenga ofisi siyo kazi,kazi ni kuitangaza chama kwa umma. aluta continua!!!!!!!!!!!!!!!! baba
 

Tulieni dawa iwaingie vizuri tutaheshimiana tu
 
SASA SI WAKATI WA KUTULIA HATA KIDOGO,BALI NI WAKATI WA KUENDELEZA MOTO HUU ILI HII SERIKALI IJUE MAENDELEO HAYAJI KWA KUZUIA VYAMA VYA SIASA KUFANYA SHUGHULI ZAKE.
 
Hapo sasa!. Vipi sisi wadai demokrasia tutavaa nini?

Plan ziko nyingi tusubili kadili siku zinavyosogea.. Hasa mimi nataka zaidi kofia nizuie moshi wa mabomu.. Make washawasha nirahisi sana kukata ile mipira yao.. Tuliwai kufanikisha Mwanza na sasa tumejiandaa vizuri
 
Pamoja na kwamba siipendi sisiemu, lakini huu upuuzi siwezi kuufanya aiseeee [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Mbona wanatoa vifaa kiduchu, watoe na wao mabomu ya machozi ili mpambano uwe droo, au siyo?
Cha moto mnakitafuta na mtakipata.
Sumu haionjwi!
 
Maswala ya bajeti fedha zimetoka wapo uje baada ya sep 1
 
hapo ni biashara. mtu anapewa order ya kusupply kwa bei mbaya watu wanakula ruzuku.
 
ukimsikiliza utapata jibu,mbona ccm wana ofisi kila kona lakini wezi kuliko panya wa Majumbani,mmewapa wazungu wafukue ardhi yetu na kuacha mashimo kwa hoja ya Mrahaba,Ofisi siyo issue
 
Wangegawa na magari ya washawasha ili ngoma iwe droo
 
Tuna ela za kulikombia taifa kwanza! Ofisi zitajengwa baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…