Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Wewe umejenga ngapiNdio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??
Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
Siku hizi mnahahaMatope ni matope hayawezi kuwa chuma
Very evasive. Mtakapoambiwa hela ya ruzuku yote imeisha sababu ya UKUTA msilalamike.Upo nje ya mada Mkuu..
Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??
Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
Halafu mkuu kwa maji yale,labda wavae Tshirt za chuma,kama yanakupata mwanaume lazima ujikojolee na kujinyea,kama ni mwanamke unapata dharura hapo hapo acha wayajaribu kwanza hayajatumika hata mara moja baada ya kuufyata kesi ya mit 200 maji hayakutumika tenaMkiwa wajinga raha sana mnadhani yupo askari atawapiga mabomu ya machozi?mtapigwa za moto mpakamuishe.
Taarifa iliyonifikia hivi punde ni kwamba kamati ndogo ya ULINZI na usalama ( ukuta ) imetoa mapendekezo yake kwenye kamati kuu na mapendekezo ayo yamekubaliwa kuwa;
Kofia na t-shirt za kuzuia Maji ya washa washa na mabomu ya machozi kuanza kusambazwa nchi nzima kuanzia jumapili hii tarehe 21/8/2016 Kwa ajiri ya red briged wapatao 1000 kila kata, ambao watasambaa nchi nzima kuanzia Jumatatu ijayo
Mimi naendelea kujenga ukuta , tukutane jangwani siku ya mkesha.
Ni kweli kabisa mkuu, maana hata hela za kununua mabomu na magari ya washawasha hatujui zinatoka wapi!!! lakini hapo hapo hela za kujenga nyumba za walimu hazipo, na tushasema serikali yetu haitatoa misaada ya maafa wananchi wajijue wenyewe ila hela ya kununua mabomu ipo!Ndio raha ya kuongoza hawa watu hawajiulizi hiyo tenda ya kuchapisha t - shirt na kofia za maandamano amepewa nani??
Hizo hela za kuchapisha hizo t shirt zimetoka bajeti gani??
Ni kwa nini hela za kujenga ofisi za chama Mbowe anasema hamna , lkn za kuchapisha t shirt za maandamano zinapatikana??
Hahahahaha message sent.Ni kweli kabisa mkuu, maana hata hela za kununua mabomu na magari ya washawasha hatujui zinatoka wapi!!! lakini hapo hapo hela za kujenga nyumba za walimu hazipo, na tushasema serikali yetu haitatoa misaada ya maafa wananchi wajijue wenyewe ila hela ya kununua mabomu ipo!
Kwa hiyo unaamini kofia na tisheti zinweza zuia mabomu ya machozi?T.shirt & kofia mbona ni vitu vya kawaida sana . kama vikoba wanachapisha itakuwA chama cha siasa???
Hivi hizo tisheti za kuzuia maji ya washa washa na mabomu ya machozi ni za material gani Teh TehMkiwa wajinga raha sana mnadhani yupo askari atawapiga mabomu ya machozi?mtapigwa za moto mpakamuishe.
Hela ya kuhamia Dodoma na kujenga uwanja airport Chato imetoka kwenye bajeti gani na nani aliipitisha?