Ukuta Shule ya Sekondari Ngasaro, Shirati Rorya waanguka. Wanafunzi wawili wafariki

rip
 
Duh wapumzike kwa amani!

Mimi swali langu hivi wajaluo wa Tanzania na wa Kenya wanasikilizana kwa 100% au kuna baadhi ya maneno wanatofautiana kidogo?
 
Duh wapumzike kwa amani!

Mimi swali langu hivi wajaluo wa Tanzania na wa Kenya wanasikilizana kwa 100% au kuna baadhi ya maneno wanatofautiana kidogo?
Wanasikilizana na huwezi tofautisha...
Wapo kibao wanaNIDA za kenya ambao ni watz
 
Update2..
Ambulance iliyoenda kuchukua miili ya marehemu yapinduka na kusababisha majeraha kwa kwa dereva na baadhi ya askari waliokuwamo.
 
Update2..
Ambulance iliyoenda kuchukua miili ya marehemu yapinduka na kusababisha majeraha kwa kwa dereva na baadhi ya askari waliokuwamo.
Mmmh apa kuna namna makafara hayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…