Ukuta Shule ya Sekondari Ngasaro, Shirati Rorya waanguka. Wanafunzi wawili wafariki

Nashangaa hiyo gari iliangukaje maana nimeambiwa ilianguka pale kata (mahakama ya mwanzo) yaani chini ya kilomita 2 kutoka eneo la tukio yaani eneo la shule, hiyo speed ilikuwaje kwa umbali huo mfupi? RIP vijana
 
Inasemekana kulikuwa na gema derwva hakuliona.
 
Back
Top Bottom