HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 28, 2024 #101 Hadi sasa Marekani anaongoza katika uzalishaji na utumiaji wa mafuta duniani
State Propaganda JF-Expert Member Joined Apr 25, 2024 Posts 542 Reaction score 1,286 Jul 28, 2024 #102 Nimesoma comments nyingi za wadau wengi katika huu uzi na kubaini yafuatayo : 1.Wengi wa wachangiaji hawajui lolote kuhusu mambo ya kiuchumi (mburulaz). 2.Wengi wanaleta ushabiki maandazi, kisa tu wanamahaba na marekani. 3. Wengi wanabishana bishana ilimradi tu, bila kujenga hoja zao vizuri kwa kuweka facts/ data. Hitimisho:Kwa kweli ni jambo la aibu kabisa kwa vijana wa kisomi kushindwa kujua jambo dogo kabisa ya kuwa dola ya kimarekani (USD) inaelekea shimoni.
Nimesoma comments nyingi za wadau wengi katika huu uzi na kubaini yafuatayo : 1.Wengi wa wachangiaji hawajui lolote kuhusu mambo ya kiuchumi (mburulaz). 2.Wengi wanaleta ushabiki maandazi, kisa tu wanamahaba na marekani. 3. Wengi wanabishana bishana ilimradi tu, bila kujenga hoja zao vizuri kwa kuweka facts/ data. Hitimisho:Kwa kweli ni jambo la aibu kabisa kwa vijana wa kisomi kushindwa kujua jambo dogo kabisa ya kuwa dola ya kimarekani (USD) inaelekea shimoni.