CBDC itaforce dunia nzima kutumia only one currency na hili linakuja miaka michache sana ijayo mimi binafsi naamini to the max haizidi kumi kutokea sasa.Wanakuja na Central Bank Digital Currency(CBDC)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CBDC itaforce dunia nzima kutumia only one currency na hili linakuja miaka michache sana ijayo mimi binafsi naamini to the max haizidi kumi kutokea sasa.Wanakuja na Central Bank Digital Currency(CBDC)
Wafanyabiashara wa kariakoo wakinunua bidhaa china wanatumia dollar tuwchenj ushabikiUnazungumzia mambo ya miaka mingi sana iliyopita.
China ndio inayo ongoza kwa IP duniani sasa
Achana na ndoto za alinacha amka usingiziniCBDC itaforce dunia nzima kutumia only one currency na hili linakuja miaka michache sana ijayo mimi binafsi naamini to the max haizidi kumi kutokea sasa.
Kwa hayo maelezo uliyo yaweka hapo ,inaonesha kweli hauna ufahamu na uchumi wa dunia....Uliuliza kama kuna nchi zinajaribu kuachana na dola kwa sasa nikakujibu. Hujalitilia maanani jibu, umequote unachojua wewe. Inaonekana wewe ndiyo unataka ubishi, huwezi kusoma majibu na kuelewa au ujuaji tu.
Tukirudi kwenye mada. Hizo nchi umetaja hazijawahi kujaribu kuachana na Dollar. Baada ya WWII Marekani alihakikisha Ujenrumani na Japan zinakuwa imara kichumi ili ziiserve dollar kwenye maeneo yao, yaani Ujerumani Ulaya(Kumbuka Ujerumani "Ndiyo EU") na Japan Asia. Hizo nchi hazijawahi taka kuachana na dollar. Waliojaribu walau ni Ghaddafi na Saddam Hussein. Na tunajua kilichowapata. Kazi kubwa ya jeshi la Marekani ni kuilinda Dollar.
Kwa sasa harakati za nchi kutaka kuachana na dollar zina nguvu sana, nimekuwekea harakati hizo hapo juu(Sijui kama umesoma).
Unaweza kutuambia kwa nini dollar ni reserve currency ya dunia pamoja na manyanyaso yote ambayo dunia inapitia?
Nchi nyingi zinaanza kufanya makubaliano ili zifanye biashara kwa kutumia sarafu zao. BRICS wanapambana kushusha utawala wa dola. Saudi Arabia wanasita kusaini mkataba wa Petro dollar. Kuna harakati nyingi sana za watu kutaka kuachana na dollar. Kitendo cha akiba ya dollar za Russia kuwa frozen kimewafanya watu wengi waanze harakati za kuikimbia dollar.
As of April 2024, the top 10 oil producers in the world by share of total world oil production are:Unatumia maana US anakuwa na uhakika wa kwenda kuitumia kununulia mafuta SA
Na wkt huo we unajua USA wamelala wakiwaacha hao brics wakae vikao vyao vya upatu kuiangusha dollar?
Mleta uzi kaja na story za vijiweni ila ukisoma reply zake utagundua ana exposure ndogoAs of April 2024, the top 10 oil producers in the world by share of total world oil production are:
Ambacho hamjui USA anaproduce mafuta kuliko nchi yeyote ila hayupo kwenye huo utopolo wa OPEC. For some reason watu wanadhani US haina natural resources hasa miafrika, US ina mafuta, gas, gold na natural resources nyingi sana kuliko nchi nyingi duniani. US haipendi kuendeshwa na siasa taka ndo maana haipo kwenye organizations uchwara kama ambavyo haipoThe Hague that shouldn't be confused kwamba US haina au inategemea zaidi nchi uchwara. On the other end, Saudia anahiitaji US kuliko US inavyomuhitaji Saudia. Saudia ana kandarasi ya kudumu kununua silaha US unadhani atakuja na hizo karatasi zake? Atanunulia technology kwa karatasi zake? US bado ipo sana.
- United States: 22%
- Saudi Arabia: 11%
- Russia: 11%
- Canada: 6%
- China: 5%
Inaonekana mkuu umekariri points za kujibia mitihani bila ya kuzielewa vyema.Ugumu wa kui-ditch dollar
- Vita kuu ya Pili ya dunia ndiyo iliyoifanya Amerika kuwa Taifa kubwa kiuchumi maradufu....(i)Aliuza sana silaha na bidhaa kwa nchi nyengine (ii) Alikopesha sana
- Mikopo mingi ya mataifa na mashirika makubwa imeandikishwa kwa Dollar
- Silaha nzito kununuliwa kwa Dollar,marekani ndiyo muuzaji mkubwa
- Kutokuwepo na nchi nyingine yenye uchumi mkubwa na utayari wa kubeba mikoba ya Dollar
- Kuogopa mkanganyiko wa kiuchumi:Uhalali/uzito wa utumizi wa pesa hujengwa na Imani kama imani za watumiaji zipo kwa dollar basi itazidi kuimarika..
Sababu ya China kutoweka kuchukua nafasi hiyo kwa hivi karibuni
Kama Yen,haitoweza ,Unafkiri nchi gani itaweza...?
- Uchumi wake unategemea viwanda,,,kama pesa yake ndiyo ikawa world reserve, itaongezeka thamani na kufanya bidhaa zake zisi uzike nje.
- China ana mchezo wa kucheza na thamani ya fedha yake...siyo floating currency
- Wateja wakubwa kutaka kufanya malipo kwa Dollar au Euro......na wateja wakubwa china ni USA na nchi za Ulaya....nchi za Afrika manunuzi yetu ni madogo sana.
- Ugomvi wa Kidiplomasia/Udhibiti....Kubuka china haina maelewano mazuri na India,Ufilipino,Taiwan,Japan,Korea Kusini hizi nchi zote ni za Asia ila zipo radhi kutumia Dollar kuliko Reminbi
Watafanya nini?Na wkt huo we unajua USA wamelala wakiwaacha hao brics wakae vikao vyao vya upatu kuiangusha dollar?
Bado unasafari ndefu kujua mambo yanavyoenda. Hapa siyo nani ana mafuta mengi, hapa ni pesa ipi inatumika kununulia hayo mafuta.As of April 2024, the top 10 oil producers in the world by share of total world oil production are:
Ambacho hamjui USA anaproduce mafuta kuliko nchi yeyote ila hayupo kwenye huo utopolo wa OPEC. For some reason watu wanadhani US haina natural resources hasa miafrika, US ina mafuta, gas, gold na natural resources nyingi sana kuliko nchi nyingi duniani. US haipendi kuendeshwa na siasa taka ndo maana haipo kwenye organizations uchwara kama ambavyo haipoThe Hague but that shouldn't be confused kwamba US haina au inategemea zaidi nchi uchwara. On the other end, Saudia anahiitaji US kuliko US inavyomuhitaji Saudia. Saudia ana kandarasi ya kudumu kununua silaha US unadhani atakuja na hizo karatasi zake? Atanunulia technology kwa karatasi zake? US bado ipo sana.
- United States: 22%
- Saudi Arabia: 11%
- Russia: 11%
- Canada: 6%
- China: 5%
Hatuangalii kitu kimoja kimoja kama nani ana makampuni makubwa ya madawa angalia trade deficit na trade surplus.Mleta uzi kaja na story za vijiweni ila ukisoma reply zake utagundua ana exposure ndogo
Hata soko la pharmaceutical limekamatwa na makampuni mengi ya marekani na wanauza dawa kupitia dollar
U.s ndo mchangiaji mkubwa un na mashirika yake na anafanya hivyo kupitia dollar
Yaani dollar kupotea ni practical imposible kwa kipindi hiki itachukua mda sana
Ukibanwa kwenye hoja zako unatafuta pa kukimbilia...Inaonekana mkuu umekariri points za kujibia mitihani bila ya kuzielewa vyema.
Cheki unavyokwepa hoja ukibanwa,,,sasa safari ndefu ipi....Bado unasafari ndefu kujua mambo yanavyoenda. Hapa siyo nani ana mafuta mengi, hapa ni pesa ipi inatumika kununulia hayo mafuta.
Mimi nafanya biashara ya kununua vitu chinaHatuangalii kitu kimoja kimoja kama nani ana makampuni makubwa ya madawa angalia trade deficit na trade surplus.
Haujanibana kwa hoja, umeongea tu points za kukariri, unachosha hata kukujibu.Ukibanwa kwenye hoja zako unatafuta pa kukimbilia...
Sasa si kwa sababu dollar ndiyo reserve currency ya dunia!? Maana naye akitaka kwenda kununua mafuta Saudi Arabia itambidi alipe kwa dollar. Hicho ndicho kitu wanachokikataa.Mimi nafanya biashara ya kununua vitu china
Mchina anataka dollar mara nyingi ni mara chache anataka euro au pound