Kabisa. Anatakiwa ajirebrand kama financial centre. Uchumi wa mafuta unaenda kuisha.
UAE kampita wakati alikua hana level zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa. Anatakiwa ajirebrand kama financial centre. Uchumi wa mafuta unaenda kuisha.
UAE kampita wakati alikua hana level zake
Uliuliza kama kuna nchi zinajaribu kuachana na dola kwa sasa nikakujibu. Hujalitilia maanani jibu, umequote unachojua wewe. Inaonekana wewe ndiyo unataka ubishi, huwezi kusoma majibu na kuelewa au ujuaji tu.Sifahamu uelewa wako kuhusu uchumi wa dunia, inaonekana unataka kubishana, nimesema hapo juu, dola itaanguka kwani hakuna kitu kisichokuwa na mwisho hapa duniani.
Ila kwa sasa na kwa baadaye ni ngumu kutokea huu ni ukweli mchungu, huwezi kusema dunia itaachana na dola hata kwa miaka 50 ijayo, au wewe kwa kutumia akili yako unaliona hilo??
Walijaribu Mjapani, Mwingereza, Mchina na EU walikutana na ugumu coz ya uchumi wa kushikamanishwa na dola.
Kasome kwa nini world reserve currency iwe dola na siyo sarafu nyingine pamoja na manyanyaso yote dunia inayoyapata.
Ukweli mchungu: Dunia inahiitaji sana dola kwa sasa kuliko dola inavyohiitaji dunia!
Nb: Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha, itakuja kuanguka ni suala la wakati na tunahitaji kuvumilia!
Wanakuja na Central Bank Digital Currency(CBDC)Dollar Lazima iporomoke, mbadala wake ni Digital Currency ikiongozwa na BRICS.
Ni factors gani zingine zinazofanya dollar iwe na nguvu?Mtoa mada kachagua kipengele kimoja tu kidogo kati ya vingi vinavyofanya dola ya USA iwe na nguvu. N combination of factors na siyo mafuta pekee. Ni wazi kuwa hakuna kitu kinachodumu hasa dola lenye nguvu (nchi) kwa sababu historia inatufundisha hivyo. Lakini sioni hayo aliyoyayasema yakitokea sasa hivi tena kwa haraka namna hiyo.
Wapi nimesema USA hana mafuta?Nani alikuambia USA haha mafuta ya kutosha ardhini mwake?
Kwa nini?Hiyo ni ndoto ya mchana, ni ngumu sana dola kuanguka, ni ngumu,
1. Uchumi: Marekani ina uchumi mkubwa na wenye nguvu zaidi duniani. Ukubwa wa uchumi huu unafanya dola kuwa fedha ya kipaumbele katika biashara za kimataifa.Ni factors gani zingine zinazofanya dollar iwe na nguvu?
Ndio. zipo nyingi kwa sasa zinazo punguza matumizi tofauti na awali hii ni dalili ya miaka ijayo nini kitatokea.Swali : Dola itaanguka???
Jibu: Ndiyo itaanguka, lakini ni ngumu kutokea kwa sasa!
Sababu ni nini? Uchumi wa dunia umetengenezwa na kushikamanishwa kupitia dola, kuanguka kwa dola ni kuanguka kwa uchumi wa dunia.
Siku dunia ikiamua kuacha kutumia dola kama sarafu kwenye hifadhi zake kwenye nyanja mbalimbali basi huo ndiyo mwisho wa dola!
Unaona kuna nchi inayojaribu kufanya hivyo kwa sasa??
Unazungumzia mambo ya miaka mingi sana iliyopita.zote ni underlicence ya USA , kama hujui jua hilo maana patents bado ni za USA, ndio wagunduzi huwezi kuzitengeneza bila ruhusa yao kimataifa.
I stand to be corrected!
Industrial products hazipatikani U.S.A pekee kwanza U.S.A sio industrial powerhouse kwa sasa duniani hiyo nafasi imechukuliwa na China miaka mingi iliyopita labda ulete sababu tofauti na hii.Ukitka kununua MRI toka USA utatumia pesa ya Saudia? Dola ina nguvu kwa sababu ya industrial productions ambazo zinahitajika duia nzima.
Hiyo 1-3 ni matokeo ya pesa yao kuwa pesa ya dunia, si mambo yaliyofanya pesa yao kuwa pesa ya dunia. 4 ni kweli inautulivu wa kisiasa lakini si salama kwa mali za wawekezaji, ndiyo maana imefreeze pesa za Urusi. Imefreeze pesa za Taliban. Na haya ndiyo yanafanya watu wengi waharakishe kuikimbia.1. Uchumi: Marekani ina uchumi mkubwa na wenye nguvu zaidi duniani. Ukubwa wa uchumi huu unafanya dola kuwa fedha ya kipaumbele katika biashara za kimataifa.
2. Marekani ina masoko makubwa ya fedha kama vile soko la hisa la New York (NYSE) na soko la Nasdaq. Haya masoko yanavutia wawekezaji kutoka kote duniani, na hivyo kuongeza mahitaji ya dola.
3. Benki kuu za nchi nyingi duniani zina akiba kubwa ya dola kama sehemu ya akiba yao ya fedha za kigeni hivyo inafanya dola kuwa na mahitaji makubwa na kubaki kuwa imara.
4. Marekani ina historia ya utulivu wa kisiasa na kiuchumi ikilinganishwa na nchi nyingine. Hii inaongeza imani ya wawekezaji na nchi nyingine kutumia dola kama fedha ya akiba.Hili nalo ni muhimu sna.
Na pia Marekani ina mfumo mzuri wa kisheria unaolinda haki za mali za wawekezaji. Hii inawafanya wawekezaji wengi kupendelea kutumia dola kama fedha ya kipaumbele.
Kuna vipengele vingi tu pamoja na hicho cha mafuta.. Jaribu hata ku-Google utapata picha halisi kwa upana zaidi..
Aisee ndyo nyie tuwaitaji kweny nch zetu syo hawa kama mleta mada ajui power ya 💵 anakurupuka tu ebu mkuu wape elimu hao watt wa mama ezakuwa ajui biashara sasa mmarekan yy kwa waza miaka 400 alaf unakuta mtu kavmbiwa makande anakurupuka kutowa mada ajui hata kwann dollar ipo dunian koteHadi leo mtoa mada ujafahamu kwanini Dollar ina nguvu? Ukiwa mzalishaji mkubwa wa vitu na teknolojia watu watakuja kununua kwako kwa njia rahisi uliyosema.
Sasa chukulia SA atauza mafuta kwa pesa yake, swali ni kuwa yeye atanunua vingapi kwa pesa ya wengine?
Ni ngumu lakini haimaanishi haiwezekani.Hiyo ni ndoto ya mchana, ni ngumu sana dola kuanguka, ni ngumu,
Industrial products ya chna iz zakna vunja bei au ip mkuu unazozungumzia ?Industrial products hazipatikani U.S.A pekee kwanza U.S.A sio industrial powerhouse kwa sasa duniani hiyo nafasi imechukuliwa na China miaka mingi iliyopita labda ulete sababu tofauti na hii.
Waswahili wakishiba uji wa chumvi….story zao ni ngumu kuzielewaUS bila Saud Arabia ange dondoka zamani sana
Namba 3 na 4 kuna mtikisiko mkubwa hapa sikubaliani na wewe kwa sasa.1. Uchumi: Marekani ina uchumi mkubwa na wenye nguvu zaidi duniani. Ukubwa wa uchumi huu unafanya dola kuwa fedha ya kipaumbele katika biashara za kimataifa.
2. Marekani ina masoko makubwa ya fedha kama vile soko la hisa la New York (NYSE) na soko la Nasdaq. Haya masoko yanavutia wawekezaji kutoka kote duniani, na hivyo kuongeza mahitaji ya dola.
3. Benki kuu za nchi nyingi duniani zina akiba kubwa ya dola kama sehemu ya akiba yao ya fedha za kigeni hivyo inafanya dola kuwa na mahitaji makubwa na kubaki kuwa imara.
4. Marekani ina historia ya utulivu wa kisiasa na kiuchumi ikilinganishwa na nchi nyingine. Hii inaongeza imani ya wawekezaji na nchi nyingine kutumia dola kama fedha ya akiba.Hili nalo ni muhimu sna.
Na pia Marekani ina mfumo mzuri wa kisheria unaolinda haki za mali za wawekezaji. Hii inawafanya wawekezaji wengi kupendelea kutumia dola kama fedha ya kipaumbele.
Kuna vipengele vingi tu pamoja na hicho cha mafuta.. Jaribu hata ku-Google utapata picha halisi kwa upana zaidi..
Kama unaangalia mambo namna hii, tena kwa kupingana na sababu za kitaalam kabisa, basi una haki ya kuja na conclusion kama uliyoainisha kwenye thread yako.Hiyo 1-3 ni matokeo ya pesa yao kuwa pesa ya dunia, si mambo yaliyofanya pesa yao kuwa pesa ya dunia. 4 ni kweli inautulivu wa kisiasa lakini si salama kwa mali za wawekezaji, ndiyo maana imefreeze pesa za Urusi. Imefreeze pesa za Taliban. Na haya ndiyo yanafanya watu wengi waharakishe kuikimbia.
Sababu kubwa ya kuifanya pesa ya nchi fulani iwe pesa ya dunia ni nchi hiyo iwe na trade surplus(Yaani iuze sana bidhaa duniani huku ikinunua kidogo tu) Marekani ilipoteza sifa hiyo miaka ya 70. Tokea hapo dollar imebaki kuwa reserve ya nchi nyingi kwa sababu ya ujanja ujanja na ubabe tu.