Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Inategemea, Mimi mzee wangu alikua mkali mkali sana, kuna siku nilitulia nikamtolea uvivu, alinielewa na akanipa heshima yangu.
 
achana nae kwanin upoteze nguvu zako kubishana nae?

Yey kaelewa ni mahusiano ya kmapenzi tu.
Hili neno linabeba watu wote wanao mzunguka binadam tangu kuzaliwa kwake mpaka anaingia kaburin.
Kaja na stress itakuwa, kiukweli mimi nime experience hiki kitu tangu naondoka chuo, nafanya kazi ofisi mbalimbali, naishi sehemu fulani, unakutana na watu mnakuwa very close, lakini the moment u leave that place everything turns out totally different, everyone is lost completely au mnaishia kuangaliana kwenye m status hata kusema hi huwezi..
 
Ukichagua kuyaishi mapenzi ya Mungu,Mungu hukuchagulia watu wa kuambatana nao!
 
Wazazi wa zamani wametutesa sana. Unaishi kwa uoga, unaogopa kuongea ukweli mzazi akikukosea, unashindwa kuuliza maswali pale unapokandamizwa kisa laana.. Nilivojitambua na kuelewa there is no such thing nikasema ENOUGH
hakuna binadam anaweza kumlaan binadam tofaut na karma.
Wazee wazaman walitumia dawa kuwafungia watoto mambo yao, kwa kigezo cha laana.
Hapo usipomwomba msamaha mambo yatakuharibikia tu.

Wazaz wa siku hz dawa hazipo wataongea maneno matupu tu
 
Inategemea, Mimi mzee wangu alikua mkali mklai sana, kuna siku nilitulia nikamtolea uvivu, alinielewa na akanipa heshima yang

Inategemea, Mimi mzee wangu alikua mkali mklai sana, kuna siku nilitulia nikamtolea uvivu, alinielewa na akanipa heshima yangu.
Hapo ni baada ya kutambua ukweli mbaya kua hakuna kitu kinaitwa laana duniani hapa
 
na eneo au vitu au watu wakitaka kutoka kweny maisha yako acha yapite uking'ang'ania ujue umeumia.
Kwan kazi yake kweny maisha yako imetimia, Mungu huamua kumtoa/kuvitoa ili vije vingne upate uzoefu mpya
 
Umenena vyema, hawakua wanalaani watoto bali walikua wanawaroga tu
ndo hvo utakuta bint kamzingua mzaz wake, akiolewa ghafla tu kizaz kinagoma.

Utamsikia mzee wake anatoa ushuhuda alimlaan kisa alienda tofaut nae.

Sasa nikabak nawaza maneno yake tu mzee yafunge kizaz cha mwanae sio kwel, kamroga Asizae
 
Hakuna mwanamke anayekataa ngono.
 
Nmekuja kugundua watu kwenye maisha yetu, wanaletwa kwa sababu maalum na wanapita.
Ni kweli kabisa ๐Ÿ’ฏ ๐Ÿ™Œ
Ukiingia kwa ground ndiyo unajua kwamba kila mtu anajitahidi kadri anavyoweza, wakati mwingine mambo ni magumu tu.
PILI
nilijua naweza pata mwanamke wang tukaish kama adam na eva ama sharku khan na priyanka chopra


Imekuwaje ukashindwa mkuu?
 
ndo hvo utakuta bint kamzingua mzaz wake, akiolewa ghafla tu kizaz kinagoma.

Utamsikia mzee wake anatoa ushuhuda alimlaan kisa alienda tofaut nae.

Sasa nikabak nawaza maneno yake tu mzee yafunge kizaz cha mwanae sio kwel, kamroga Asizae
Na ukutaka kujua haya mambo yalikua uongo, bahati nasibu na uchawi. Ni vile mzazi akikosewa hatoi laana moja kwa moja kwamba "Nakulaani kuanzia sasa huto zaa", alikua anakwambia "Kama nimekuzaa mimi nakulaani, utaona sasa".

Mtu unabaki na wenge hujui kama laana ndo hii au ndo ile
 
Very true ๐Ÿ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ