Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Labda ndotoni akiwa amelala 😂
Maana siku hizi nasikia kijana akishakupigia nyeto anasema tayari keshakukula 😆😆
Eenh! Hivi ndio wamefikia huko🫢

Hivi ni kitu gani kinawafanya waone wanatuweza sana? Maana sikuhizi kijana akiokota binti sinza anakuja kujitapa humu kuwa wanawake wote blah blah blah 😒
 
Dunia ina uhasama na watu wema.
200 15.GIF


Ukweli mchungu😢😢
 
Japo kuna watu wanasema mzazi ni mungu wa pili, sahizi mimi nina watoto na uungu wangu siuoni. 😂😂😂😂
Hakuna uungu kabisa, mimi nina watoto na wananichallenge, najifunza mengi kutoka kwao pia.

Sina zile habari za mzazi hakosei, kuna wakati naona kabisa nilipitiwa na nawaomba msamaha. Hawa Gen Z na Gen Alpha kukuona Mungu mtu, utasubiri sana 😆
 
Watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu 😂😂😂😂
Anakujibu kwa upole kabisa, "kama umeamua kunilaani mimi ni nani nikuzuie mama 😂" unabaki umetoa macho tu huamini ulichosikia!

Mtoto wangu wa mwisho ni teenager sasa hivi, hakuna rangi bado sijaona, naelewa kwanini wazazi wetu walikua wanapeleka watoto wa sekondari boarding mikoa ya mbali, wanawaacha huko 😆😆😂
 
Anakujibu kwa upole kabisa, "kama umeamua kunilaani mimi ni nani nikuzuie mama 😂" unabaki umetoa macho tu huamini ulichosikia!

Mtoto wangu wa mwisho ni teenager sasa hivi, hakuna rangi bado sijaona, naelewa kwanini wazazi wetu walikua wanapeleka watoto wa sekondari boarding mikoa ya mbali, wanawaacha huko 😆😆😂
Na kuna ule umri hupatani na mama😆
 
Asante baba 🙏🏽

Sawa

Pesa peke yake haitakupa furaha, kama una upweke, utabaki kuwa mpweke, kama hufurahii kazi yako au mahusiano yako, hakuna kiasi cha fedha kitakufanya ufurahie.

Ila pesa inaweza kukutimizia mahitaji yako, ikakupa status kwenye jamii, ukaheshimika, ukathaminika kwa sababu ya kile ambacho unacho. Ndiyo maana unakuta mtu aliyekusanya marafiki au watu sababu tu ya pesa, yeye ndiye mlipaji, watu wanakuja kwake wapate mteremko na si kwa sababu wanampenda au kumfurahia kwa vile alivyo, pesa zikiisha wote wanaondoka.

Furaha inapatikana kwa kufanya kitu unapenda au kutoka kwa jamii au watu unaowapenda au wanaokupenda. Pesa inaweza kukurahisishia michakato ya kuwa nao karibu au kuweza kutatua matatizo yao ila ule upendo na thamani ya kweli lazima viwepo kwanza ndiyo pesa ije juu yake.


Entitlement na kutojua mipaka.
Ndugu wengi huwa wanataka kuingilia maamuzi ya ndugu zao, nimeona cases za ndoa kuwa ngumu sababu ya ndugu, wengine wanahamia kwa ndugu hawaondoki, wapo wanaotegemea matatizo yao yatatuliwe kila wanapohitaji etc.

Kuna wakati kazi yangu iliniweka kwenye nafasi ya kuona kesi nyingi za mirathi, hapa ndiyo niliamini adui wa kwanza anaweza kuwa ndugu yako. Mambo ya kudhulumu mali, kuonea watoto wa marehemu etc, ni mengi sana. Kama unaweza kuchukua tahadhari mapema, weka sawa mazingira ya watoto wako na usije kutegemea ndugu yako atakusimamia utakapoondoka.
Kudos
 
Kivipi? hebu tuelezee kidogo
Sijawahi kukataliwa na mwanamke yeyote. Siri ni maneno matamu na kumsifia mwanamke. Na sikuhizi wanawake wanashindana na wanaume. Jumapili iliyopita nilikutana na binti nilisoma nae enzi hizo. Katika kupiga story akaniomba nimpeleke kwao. Tukaishia kumbatona ndani ya gari . Baada ya kumaliza ananiambia anaolewa mwezi wa nne na anaomba nimchangie send-off. Sikushangaa maana ndio hali ilivyo. Ukiukubali huu ukweli itakusaidia sana katika maisha ya ndoa.
 
Huo muda natoa wapi my dear?
Kwamba hauna muda wa kuongeza magumu kwa wengine.
👇🏽
So, hujawahi kwenda kinyume na makubaliano na mtu? kwamba ww unakeep all of your promises.

So, hujawahi cause trouble kwa mtu?
So, hujawahi danganya mtu on regular bases?
So, hujawahi kumkera mtu persistently beyond their level of tolerance?

👆🏽 hizo ni baadhi ya namna za kuongeza magumu kwa wengine.
 
Back
Top Bottom