Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Sio kila mshangazi una pesa wakuu
Kwahiyo!?Kwahiyo wewe watu wakija kwenye maisha yako unawang’ang’ania? Au huelewi nimeandika nini? Hujui kuna kuhama mkoa, kuna majukumu kuongezeka, kuna kuhama imani fulani, kuna kuanzisha familia etc..?? Basi utakuwa hujakuwa bado!
Would you mind giving a bit more context, please?Strong man stand alone
Sasa wewe unakula mishangazi ya tandika na kivule, unategemea nini?Sio kila mshangazi una pesa wakuu
Mbande/Kisewe 😂😂😂😂😂🙏Sasa wewe unakula mishangazi ya tandika na kivule, unategemea nini?
😂 😂 😂Mbande/Kisewe 😂😂😂😂😂🙏
Nimeumizwa na nani? Unafikiri hapa tunaongelea mahusiano tu sio? Una jazba la kijinga🚮Kwahiyo!?
Ila endelea kutoa ya moyoni unaonekana umeumizwa sana kihisia.
Anawatoa wapi kama yeye anakaa huko🤣😂 😂 😂
Sasa huko ni kwa wenye mkwanja mrefu kweli?
Hebu nenda kajaribu na wale wa mbezi beach na masaki huko halafu uje utusimulie.
Age is just a number 😌Unaweza kuwa na mpenzi aliyekuzidi umri miaka hata 20
Tutapigana humu 😂😂😂😂Anawatoa wapi kama yeye anakaa huko🤣
Ndio mana watamuAge is just a number 😌
Njoo uku tukupe mishangazi ya haja🤣Tutapigana humu 😂😂😂😂
Sikai mbande kisewe mimi
Ahahahahhaha weeeeh weeeeh hatareeeee nipe connection sasaNjoo uku tukupe mishangazi ya haja🤣
Wazazi sio mashujaa, ni watu wakawaida tu kama sisiView attachment 3559760
Acha nianze:
- Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli.
- Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima.
- Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili. Usije kufanya kosa la kung’ang’ania mtu ambaye muda wake kwenye maisha yako umekwisha.
- Vifo vya watu unaowapenda, vitakuumiza kwa muda mrefu kuliko utakavyorajia.
- Pesa haitakupa furaha ila itakuheshimisha na kukurahisishia maisha.
- Ukiwa mtoto wa kwanza kwenye familia kubwa, maisha yako hayatokua na mapumziko, utategemewa na kila mtu anayekuzunguka mpaka kifo chako.
- Familia ambazo wazazi wetu wanatokea (wajomba, mababa wakubwa, mama wadogo, mashangazi etc.) ni watu wa kuishi nao kwa busara sana au kukaa nao mbali.
Endelea ....................
;Msaada sio haki yangu.View attachment 3559760

Kumbe laana za wazazi sjui kuzuia baraka ni vitisho tu😳Wazazi sio mashujaa, ni watu wakawaida tu kama sisi
Na hutokaa ukaelewa diha😊Mpaka sasa sijawahi kumwelewa mwanamke hua anataka nii ama anapenda nn
Polee sana, i lost a sis too, inaumiza kuliko kawaida.. am still healing Kwakweli;Msaada sio haki yangu.
Namba 4. Mwaka umepita sasa hakuna siku nalala nisimkumbuke dada kuna muda ni ndoto bado . sometimes napiga namba yake inaita adi inakata..