Benzodiazepine
JF-Expert Member
- Oct 18, 2018
- 1,264
- 2,053
Sema nini mkuu, tusipende tu kuwaza in one-way trip, "kwamba kuna watu wanakuja kututesa (kufanya tuteseke)"When people show you who they are 🚩🚩, believe them.
Usijitengenezee picha nyingine ya vile unavyotaka awe, hakuna tuzo ya kuteseka ambayo utapewa huku duniani.
Pia inabidi tufikirie ya kwamba, "na sisi pia kuna sehemu tumeongezeka kwenye maisha ya wengine na kuwafanya wateseke"
Kuna msemo fulani UNASEMA. "Ukiweza kuona watu walipokukosea, ni hekima"
Lakini "ukiweza kuona sehemu ulipowakosea watu wengine, ni hekma kubwa mno"
The point is, tusifikirie tu jinsi watu wanavyokuwa tatizo kwetu, bali tufikirie pia jinsi ambavyo na sisi tunaweza kuwa tatizo kwa watu wengine.