Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
🙏 🙏 🙏🔥Uzi bora wa robo mwaka
Nasubiri kusikia ulichojifunza na wewe.
🙏 🙏 🙏🔥Uzi bora wa robo mwaka
secretarybird unazingua 😅😅Me uzi wowote nikiona wana coment na wanawake najiona fala nahs kama na mm mwanamke hakuna tofaut na kukaa na wamama kupiga umbea oya meloo tuheshimiane bhana
Nina mmoja tu anategemea mshahara wangu, na yeye anamaliza chuo next year, nilihakikisha ndugu zangu wote wanaweza kujisimamia.Usiqndike mpaka hapo tayari tunajua wewe mshahara wako sio wako ni wa wote.
Dustbin hapana, ila kimbilio hiyo ni kweli, kuna wakati na mimi natamani ningekua na dada na kaka wa kumwambia mambo yangu namna ambavyo wadogo zangu wana mimi.Wewe ni kimbilio wakati wa shida ila ni dustbin kwa uliowainua .
Walienda kuishi mkoa mbali na wanapotoka, iliwasaidia sana ila nashangaa namna ambavyo haijalishi ndugu zao na watoto wa hao ndugu watawafanyia baya gani, lazima watawasamehe na kuwasaidia tena na tena.Najua wazazi wako kuna mengi hawakufanya na walikuwa na uwezo wa kufanya ila waligubikwa na dhana ya kusaidia wadogo nao wasogee sehemu fulani ila leo ni wahanga wa kuonekana hawakuwasaidia .
Nishawatoa, sikuwahi kutaka mazoea nao na sina mawasiliano na asilimia 98% ya ndugu wa wazazi wangu, huwa nawaambia wakiwa na shida waongee na ndugu yao (baba au mama) wakiona nastahili kushirikishwa basi wazazi wataniambia.Ndugu ndugu ndugu hawa watu ukiwezq kuwatoq kwenye circle yako shukuru sana na jitahidi wasirudi tena .
Fact 💯U end up regretting your whole life 🤦🏽♀️
Duuh, kwanini unafikiri hivyo?Kwenye maisha ya sasa ukiamua kujiripua ukaoa ujue kutombewa ni wajibu ambao huwezi kukwepa tena utatombewa na wale watu ambao huwezi kudhania kabisa
Umesema vyema, all facts 💯 💯 💯 🔥Kila kitu kinabadilika hata ufanye nini!!!!!!!!
Usilazimishe kufanya jambo au kitu amabacho kipo nje ya uwezo wako!!!!!!!
Maisha unayapa maana wewe mwenyewe!!!!!!
Kila kitu kina mwanzo na mwisho!!! Kama gari linavyokuwa jipya kisha likanza kuchakaa ndivyo mwili wa binadamu ulivyo!!!!!!!!!!
Miaka 100 ijayo wengi wetu hatutakuwepo hapa duniani!!!!!!!!!!!
Sawa mahi wanguNikikaa vizuri mahi.
Watoto WA kwanza WENGI walevi na wahuni maisha uao yote hata ya ndoa wameoa wake WENGI na WENGINE hawaeleweki wamekimbia ulaya na marekani.I agree to disagree
Tuelezee zaidi, kwanini ni uongo?
Hapana bhana!secretarybird unazingua 😅😅
Subutu!! Mimi sasa hivi nina miaka 26 katika tasnia hii ya nyeto, lakini Kila iitwapo Leo nguvu za kiume ndo zinazidi kuongezeka hadi natamani kuwa-hotspot wale wanaopungukiwa nazo.
Duuh, ilikuwaje ukakubaliana na huu ukweli?Baada ya kuwa mkubwa nimekubaliana na huu ukweli 👉🏻 Hamna K ya peke yako uoe usioe mtashare tuu
Lakini na wewe pia usimwongezee ugumu mtu mwingineHapo tu ndio ninapokupendea dada ake😍
Kwakweli sikufichi, mtu wa kuniongezea ugumu kwenye maisha yangu sitaki kabisa anisogelee! Magumu niliyonayo yananitosha sana🤝🏽
Ni kweli 💯 💯Kujisikia vibaya ni sehemu ya ukuaji.
Yaani ukitaka usiumizwe nami kitandani, ni sharti umwalike shoga yako, ili kwamba unapohisi kupelekewa moto nami kiasi cha kutaka kudanja/kukata roho, basi shoga yako anaingia katika ulingo wakati wewe ukipumzika japo kidogo kabla hujarudi tena mzigoni baada ya shoga yako naye kichoshwa nami.View attachment 3559816
Kwahiyo sasa hivi na hiyo miguvu unaenda masaa mangapi kabla hujachoka?
Hua siamini kwenye hii kauli mkuu, nnapinga kabsa.Hata usipo kata tamaaa,haimaanishi utafanikiwa,unaweza usikate tamaa na bado ukafeli tu haijalishi muda kiasi gani.!!
Njia ni mbili tu uamke ukatimize ndoto kua uhalisia au ulale uendelee kuota ndoto ✌🏾Ukiona ndoto zako hazijatimia, rudi ukalale tena
Mnajifariji tuNo. 05
Nimegundua watu wanakuja kwenye maisha yako kwa sababu fulani, na sio wote watabaki haijalishi kuna sababu au hakuna! Kuna watu mtaclick vizuri tu lakini wataondoka na wengine watabaki! Nimejifunza kuelewa hii hali na wala hainisumbui!
I choose to let things flow on own, no hard feelings 🤞🏾