Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Endelea ....................
Kila kitu kinabadilika hata ufanye nini!!!!!!!!

Usilazimishe kufanya jambo au kitu amabacho kipo nje ya uwezo wako!!!!!!!

Maisha unayapa maana wewe mwenyewe!!!!!!

Kila kitu kina mwanzo na mwisho!!! Kama gari linavyokuwa jipya kisha likanza kuchakaa ndivyo mwili wa binadamu ulivyo!!!!!!!!!!

Miaka 100 ijayo wengi wetu hatutakuwepo hapa duniani!!!!!!!!!!!
 
Hedhi ni issue ndogo nimeanza kusoma toka primary wala sio big deal....
Sidhani kama hicho nimekuambia hapo umesoma primary.
Issue ndogo tu anakimbilia kituo cha polisi mara mahakamani...
Sasa c bora ukachunge ng`ombe bitimanyanga
😁 😁 issue ndogo kwako, kwake inaweza kuwa kubwa!
 
1. Maisha ya mtu yanapangwa na mtu mwenyewe... Kinachowezekana kwa mwingine si lazima kiwezekane kwako hata kama mnafanya au kupitia jambo lingine.

2. Hakuna bora kuliko mwingine. Anayepangilia mambo yake vizuri hufaidika mapema.

3. Umri haumzeeshi mtu au kumkomaza mtu, bali mapito yake na harakati zake.

3. Drug abuse haina shida ila shida ipo kwenye kusudio (akili) la mtu mtumiaji.
Mkuuu embu fafanua hapo mwishoni..
 
Hee, hapo umenipa jambo jipya. Najua nguvu za kiume kupungua mara nyingine ni round moja halafu inabidi upumzike wiki nzima ndio usikilizie mchezo tena, au unaanza mchezo na kuishia katikati bila hata mshindo.
Unafikiri wanawake wao hawajisikii hamu ya kufanya mchezo? kwa uzoefu wako, mchezo unatokea pale wewe tu unakapojisikia na yeye ndiyo anakua anataka?
Sasa nguvu za kike zinapunguaje?
Unakua hujisikii kufanya tendo.
Mie siku zote najua wanawake hawana tatizo hata miaka 80 huko ukimtekenya panapotakiwa mnacheza, ili mradi njia imemwagiwa maji ipitike kirahisi!
Si kweli, wanawake wengi wamefunzwa tendo ni wajibu, kwahiyo hata kama hajisikii, atakufunulia tu ufanye, umalize alale na ikibidi atajiliza uongo ili umwage, shughuli iishe.
 
Hakuna Upendo wa kweli.
giphy 19.GIF
 
Back
Top Bottom