Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #141
Majivu hayawezi tena kurudi kuwa kuni wala mkaa, kile kilichochomeka, kimekwisha.
Majivu hayawezi tena kurudi kuwa kuni wala mkaa, kile kilichochomeka, kimekwisha.
kwakweli hakuna lolote ambalo nimekubalina nalo paka sasa. Naamini kila kitu unaamua unataka iwaje
View attachment 3559760
Acha nianze:
- Maisha hayana huruma - unaweza kufanya kila kitu kwa ubora na kama inavyotakiwa na bado ukafeli.
- Ukimya ni jibu - jifunze kunyamaza na kucontrol hisia zako, itakupunguzia matatizo mengi ambayo si ya lazima.
- Watu watakuja na kuondoka kwenye maisha yako, ni mzunguko wa asili. Usije kufanya kosa la kung’ang’ania mtu ambaye muda wake kwenye maisha yako umekwisha.
- Vifo vya watu unaowapenda, vitakuumiza kwa muda mrefu kuliko utakavyorajia.
- Pesa haitakupa furaha ila itakuheshimisha na kukurahisishia maisha.
- Ukiwa mtoto wa kwanza kwenye familia kubwa, maisha yako hayatokua na mapumziko, utategemewa na kila mtu anayekuzunguka mpaka kifo chako.
- Familia ambazo wazazi wetu wanatokea (wajomba, mababa wakubwa, mama wadogo, mashangazi etc.) ni watu wa kuishi nao kwa busara sana au kukaa nao mbali.
Endelea ....................
Huo muda natoa wapi my dear?Lakini na wewe pia usimwongezee ugumu mtu mwingine
Kwahiyo wewe watu wakija kwenye maisha yako unawang’ang’ania? Au huelewi nimeandika nini? Hujui kuna kuhama mkoa, kuna majukumu kuongezeka, kuna kuhama imani fulani, kuna kuanzisha familia etc..?? Basi utakuwa hujakuwa bado!Mnajifariji tu
Kuongea ni rahisi ila hamna kitu.
point ni wanawake na wewe ni mwanamke ameenUnajiona hivyo ulivyosema, sababu wewe tayari uko hivyo.
Kuomba msaada siyo udhaifu bali kutambua huwezi kufanya mambo yote mwenyewe/siyo mjuuzi wa kila jambo."Ask for help", hii mimi bado najifunza!
What if sipendi kuomba🥹Kuomba msaada siyo udhaifu bali kutambua huwezi kufanya mambo yote mwenyewe/siyo mjuuzi wa kila jambo.
Believe what u see not what u hope forWhen people show you their true colors, don't try to repaint them...
Believe what u see nit what u hope for
You don’t need to fix people, just choose how close you keep them..
You’re right! Expectations can really frustrate 🤦🏽♀️Yes mom, too much expectations creates so much frustration, reduce expectations for the perfect peace of mind
Kwani wewe siyo mwanamke?point ni wanawake na wewe ni mwanamke ameen
Mambo ya life hayo
Yes, respect the truth even when it's inconvenientWhen people show you their true colors, don't try to repaint them...