Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Mimi sijakutana na hicho ulichokisema, nafikiri hiyo ni experience yako, nitaiheshimu na kuishia hapo.

Wapi nimesema "pesa siyo kila kitu"? hebu karudie kusoma nilichokiandika.
Ila Mimi Huwa ni mbovu sana kurudia kumwelewesha alieandika mada mwenyewe rudia kusoma au nimemix madesa wewe site uliyesema PESA si Kila kitu humo KWENYE thread tafuta ukikosa acha tusinge mbele .


Ukisema hujaexperience MANAKE ULITUMIA hisia za upande MMOJA kwamba watoto WA kwanza NDO wBeba familia hii naikataa aina mashiko. Experience YAKO haitoshi KUWA conclusion.


NB: USICHUKIE KUNYWA SAVANA TATU NALIPIA
 
Back
Top Bottom