hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
😁😁😁😁😁😁🙌Nimejua Kuishi na mke ni jaribu gumu mno bora uchunge ng`ombe 10000
😁😁😁😁😁😁🙌Nimejua Kuishi na mke ni jaribu gumu mno bora uchunge ng`ombe 10000
68Duuuh 🤔 umejibebea wangapi mpaka hapo ulipofikia?
Dalili ya mvua ni mawingu 😁Unakubaliana yamekutokea ?!😂😂kuwa na girlfriend ushaona ndoa ni utapeli
Mnatuchanganya bana😖Mess up uone 😁
Kwan hisia zinaumia kwasababu ya mahusiano tu!? Punguza mihemko.Nimeumizwa na nani? Unafikiri hapa tunaongelea mahusiano tu sio? Una jazba la kijinga🚮
Kumbe mindset yako ndio ipo hivi😳Dahh
Yesu ni jibu
Kama una mtoto nadhani umeona utofauti jinsi ulivokua unawaona wazazi na vile wewe ndo umekua mzazi now, vile unavomuona mwanao.Kumbe laana za wazazi sjui kuzuia baraka ni vitisho tu😳
Ukipunguza wewe inatosha🚮Kwan hisia zinaumia kwasababu ya mahusiano tu!? Punguza mihemko.
Japo kuna watu wanasema mzazi ni mungu wa pili, sahizi mimi nina watoto na uungu wangu siuoni. 😂😂😂😂Ni kweli kabisa.
We lichokozi😆😁😁😁🤸🤸
Ndio hiki nimeandika Halafu kuna tahira anakuja kusema nipunguze mihemko🫢Nmekuja kugundua watu kwenye maisha yetu, wanaletwa kwa sababu maalum na wanapita.
Nina mimba niache!🏃🏽♀️Acha uchoyo 😁🙌
Mtumishi una tukana balaa
Bado najifunzaKama una mtoto nadhani umeona utofauti jinsi ulivokua unawaona wazazi na vile wewe ndo umekua mzazi now, vile unavomuona mwanao.
Unazuiaje baraka?? Auukisema unamlaani utaanzia wapi??
Ukifanikiwa naomba unielekeze na mimi.. Kuna katoto kangu kasumbufu sana, natakiwa nijiandae ili kakinizingua nikapige na kitu kizitoo😂😂Bado najifunza
Hmm kamefanya nini na unataka ukafanye nini? Watoto wadogo hawajitambui bana labda usubiri wawe watu wazima ndio urushe kombolaUkifanikiwa naomba unielekeze na mimi.. Kuna katoto kangu kasumbufu sana, natakiwa nijiandae ili kakinizingua nikapige na kitu kizitoo😂😂
Just like A leafs when they dropped from the 🌲Nmekuja kugundua watu kwenye maisha yetu, wanaletwa kwa sababu maalum na wanapita.
Wakubwa wanafaidi 😁😁😄Nina mimba niache!🏃🏽♀️