wolverineGG
JF-Expert Member
- Feb 13, 2025
- 1,968
- 3,680
Nataka unipe huo utaalamu waliokua wanatutishia wazazi wetu kua watatulaani. Ili na me nikae nao kama dharula, siunajua tena watoto wa skuhizi unaweza ukamtishia "nakulaani", alaf anajibu "sawa nilaani kama unaweza", mzazi unabaki kushangaa mawingu tu 😂😂😂😂Hmm kamefanya nini na unataka ukafanye nini? Watoto wadogo hawajitambui bana labda usubiri wawe watu wazima ndio urushe kombola