Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Nimekubaliana kua sitaweza tena kurudi kuishi bongo, baada ya muda mrefu wa kuishi mamtoni. Nilidhani nchi imepiga hatua kwenye demokrasi kumbe ndio inazidi kurudi nyuma zaidi, ukitoa mawazo yako hata kama ni mazuri ila yapo kinyume na mtazamo wa serikali basi UNATEKWA!!! Sirudi tena minazi mirefu Kipawa.
 
Kwamba hauna muda wa kuongeza magumu kwa wengine.
👇🏽
So, hujawahi kwenda kinyume na makubaliano na mtu? kwamba ww unakeep all of your promises.

So, hujawahi cause trouble kwa mtu?
So, hujawahi danganya mtu on regular bases?
So, hujawahi kumkera mtu persistently beyond their level of tolerance?

👆🏽 hizo ni baadhi ya namna za kuongeza magumu kwa wengine.
Dahh yaishe, ila huwa sitaki kumpotezea mtu muda so sitaki kupotezewa muda pia
Trouble zangu ndogo ndogo haziaffect maisha ya mtu🌝
 
Dahh yaishe, ila huwa sitaki kumpotezea mtu muda so sitaki kupotezewa muda pia
Trouble zangu ndogo ndogo haziaffect maisha ya mtu🌝
trouble za kudeka deka, kununa nuna na kususa susa.. Au siyo 🥤
 
Kutokumuamini Binadamu yeyote hapa chini ya jua kuanzia mama, baba, mtoto,mme/ mke, kaka, dada, na wengine wanaofuata ( miyeyusho kichizi) ...I trust myself
 
Anakujibu kwa upole kabisa, "kama umeamua kunilaani mimi ni nani nikuzuie mama 😂" unabaki umetoa macho tu huamini ulichosikia!

Mtoto wangu wa mwisho ni teenager sasa hivi, hakuna rangi bado sijaona, naelewa kwanini wazazi wetu walikua wanapeleka watoto wa sekondari boarding mikoa ya mbali, wanawaacha huko 😆😆😂
Wanakimbia maswali magumu
 
Kweli hiyo changamoto yenu iko tofauti kidogo 😁 poleni, ila naona ni hali ya dunia kujibalance yenyewe tu.

Mwanamke kutokua na hamu (low libido) ni kwamba mwili haukupi ushirikiano, hata hiyo uliyosema ya kutekenywa kidogo, bado unakua hupati ule mzuka wa kukulana, na hata mbususu inakua haitengenezi ute ute kama zamani.

Ndiyo inabaki ile ya kutimiza wajibu tu, akitaka, basi unampa. Na kwa sababu mwanaume tendo linaanzia kichwani, busara za kiutu uzima zinakuongoza kutoharibu saikolojia ya baba mjengo, unatoa ushirikiano kikamilifu na kama umekaa naye muda mrefu basi unakua umeshajua cha kufanya aridhike au hata amalize safari yake haraka 😂😂😂.
Legendiiii, Legendiiii (kwa sauti ya Nyoshi El Saadat)

Another one (in Dj Khalid's voice)
 
Back
Top Bottom