Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Bado unajishughulisha nalo hilo!Wewe huwa huliwi?
Bado unajishughulisha nalo hilo!Wewe huwa huliwi?
Ubaya wa hizi mambo, unajisemea nijaribu ka kike ka mwisho, unajipatia midume miwili mapacha. Ishamtokea rafiki yangu hii, sasa hivi ana watano wote boys 😂 😂Hapana bwana..
Woiii na wanavyosumbua hawa😱 hakukonda? Me natamani nikipiga hao twins mara moja ndio basi! Tofauti na hapo labda kamoja tu au unasemaje dadaake😂Ubaya wa hizi mambo, unajisemea nijaribu ka kike ka mwisho, unajipatia midume miwili mapacha. Ishamtokea rafiki yangu hii, sasa hivi ana watano wote boys 😂 😂
sio mtu tu hata eneo ulipo au kitu.Well said! Nashukuru sing’ang’aniagi mtu kwenye maisha yangu, never!!
Kusikiliza sauti ya Mungu ni jambo kubwa sana!sio mtu tu hata eneo ulipo au kitu.
Ghafla tu unapoish unaamka uadui usio jua umetoka wapi, kumbe Mungu anataka kukuhamisha pale kukuepusha na kitu
wew acha tu dada angu, nilijua dunia ni sehem salama na sikujua wanawake walivo, niliamin nikiwa kwake nimjari, show nimpe pia ya ukweli na mwaminifu nae atatulia nami, kumbe ilikuwa kaz bure.Ni kweli kabisa
Ukiingia kwa ground ndiyo unajua kwamba kila mtu anajitahidi kadri anavyoweza, wakati mwingine mambo ni magumu tu.
View attachment 3560037
Imekuwaje ukashindwa mkuu?
Kamoja tu hakatoshi 😂 😂 leteni hao watoto akina mama wakubwa tupo, tutawasaidia 😂Woiii na wanavyosumbua hawa😱 hakukonda? Me natamani nikipiga hao twins mara moja ndio basi! Tofauti na hapo labda kamoja tu au unasemaje dadaake😂
Uwee huwa mnasemaga hivi, baadaye unajikuta unateseka mwenyew 🥴Kamoja tu hakatoshi 😂 😂 leteni hao watoto akina mama wakubwa tupo, tutawasaidia 😂
Kwanini iwe kwa wasichana pekee?Kwa wasichana / wanawake - Mtu yoyote anayekuja kwenye maisha yako na kuyafanya yawe magumu badala ya kukupa afadhali, achana naye.
View attachment 3559757
Cc: Seran , Mallerina
sema hiyo saut huwa ikinong'ona huwa tunaipuuzia mara nying na inakua na nguvu ndogo kweny ushawishiKusikiliza sauti ya Mungu ni jambo kubwa sana!
Sawa, humu under 18 hawaruhusiwi, ondoka urudi ukishakomaa vizuri.Nikiwa mtu mzima nitarudi ku-edit hii comment 😌.
Kwasabu haikulazimishi, inakusemesha kwa upolee.. ndiomaana wanasema listen to ur inner voice!sema hiyo saut huwa ikinong'ona huwa tunaipuuzia mara nying na inakua na nguvu ndogo kweny ushawishi
Sawa, drink responsibly, usiharibu maini yako!Bia ni tam jamani, nimegundua baada ya kua mtu mzima.
Mkuu nimeshindwa kukupataLife the love you Love,
Love the life you life.
Mind your own business.
Ishi maisha yako huwezi kupendwa na kila mtu onyesha tabia zako mbaya wakubaki atabaki wakuondoka ataondoka
Unafikiri ni wazo zuri kuolewa au kuoa, huku ukijiaminisha kwenye potential ya mtu kubadilika?Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change.
Hapa tutakubaliana kutokubaliana.Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.
Ananikera 😮💨Bado unajishughulisha nalo hilo!
hahahaha wew fala kweli, umenifanya nicheke peke angu daah.Subutu!! Mimi sasa hivi nina miaka 26 katika tasnia hii ya nyeto, lakini Kila iitwapo Leo nguvu za kiume ndo zinazidi kuongezeka hadi natamani kuwa-hotspot wale wanaopungukiwa nazo.