Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #341
Hao wanao watakunyoosha, we subiri 😂Wanakimbia maswali magumu
Hao wanao watakunyoosha, we subiri 😂Wanakimbia maswali magumu
Namba nimeanza kuisoma mbona.. Tena naisoma kwa kirumi 😂😂😂Hao wanao watakunyoosha, we subiri 😂
Ni tabia chafu sana na masikitiko, both kwake huyo dada na kwako.Sijawahi kukataliwa na mwanamke yeyote. Siri ni maneno matamu na kumsifia mwanamke. Na sikuhizi wanawake wanashindana na wanaume. Jumapili iliyopita nilikutana na binti nilisoma nae enzi hizo. Katika kupiga story akaniomba nimpeleke kwao. Tukaishia kumbatona ndani ya gari . Baada ya kumaliza ananiambia anaolewa mwezi wa nne na anaomba nimchangie send-off. Sikushangaa maana ndio hali ilivyo. Ukiukubali huu ukweli itakusaidia sana katika maisha ya ndoa.
Fact 💯 🙌Kwenye maisha hakuna furaha kamili.. kila zuri linakuja na ubaya wake
Kwa kifupi, maisha ni mapambao hadi pumzi ya mwisho
Labda hizo pilikapilika ndiyo purpose watu wanatafuta, wapate something to live for.Ukishazaa mtoto unapoteza muda mwingi na pesa nyingi katika kumlea na kumtunza huyo mtoto.
Unahangaika kumsomesha, kumtibu akiumwa, kugharamia vitu vingi sana kwenye maisha yake.
Watoto wengine wanabadilika kuwa walevi, wezi, malaya n.k kila kukicha unasuluhisha migogoro ya familia.
Wengine wanaanza kukuletea dharau, kwa vile washakua wakubwa huna cha kuwafanya.
Hii ya kuzaa ili kuja kutegemea watoto wako uzeeni ni swala la kibinafsi sana.Unakuta kabisa mtoto anajibizana na mzazi na kutukanana.
Watoto wakishaoa na kuolewa wanakuacha peke yako. Kama hukuweka akiba yako binafsi ya kukutunza uzeeni. Hapo ndio utajuta kwa nini ulizaa.
Kupanga ni kuchagua, safiri au zaa ila kama una resources za kutosha, unaweza kufanya both!Unawaza hizo pesa za kuwalea bora hata ungesafiri duniani.
Na bado, huo ni mwanzo tu, subiri umri ukifika tarakimu 2, utaanza kuelewa hata wazazi wako wala hawakua na shida 😂 😂Namba nimeanza kuisoma mbona.. Tena naisoma kwa kirumi 😂😂😂
Sawa, kazi kwao wanaoweza uke wenza!Kuoa mke mmoja ni kutaka ufe kabla ya umri wako..... Oa wawili iwe kama defensive mechanism!!
Hapo ndipo amani kwa mwanaume itapatikana, kuoa mmoja n mtego mkali sana🤔🤔🤔
True 💯 sometimes you win some and you lose some.You can't get everything you dreamt about or you took an enemous of time to prepare for it to be perfect. There is always a blindsport.
Umeongea kitu cha maana sana. It goes both ways.Sema nini mkuu, tusipende tu kuwaza in one-way trip, "kwamba kuna watu wanakuja kututesa (kufanya tuteseke)"
Pia inabidi tufikirie ya kwamba, "na sisi pia kuna sehemu tumeongezeka kwenye maisha ya wengine na kuwafanya wateseke"
Kuna msemo fulani UNASEMA. "Ukiweza kuona watu walipokukosea, ni hekima"
Lakini "ukiweza kuona sehemu ulipowakosea watu wengine, ni hekma kubwa mno"
The point is, tusifikirie tu jinsi watu wanavyokuwa tatizo kwetu, bali tufikirie pia jinsi ambavyo na sisi tunaweza kuwa tatizo kwa watu wengine.
Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change. Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.Ni kweli ila soma replies nyingine kabla ya hii na baada, hapa tulikua tunaongelea umuhimu wa kutojaribu kuwabadilisha watu tabia zao za ukubwani.
Mtu akikuonyesha vitu ambavyo hapendi, au tabia ambazo si nzuri kama ubinafsi, akikukosea heshima, akiwa abusive etc. usitegemee ukizidi kukaa naye ndiyo vitaondoka. Hii si kwa wanume tu, ila ni kwa wanawake pia.
Fact 💯 🔥, wote tuna kasoro na mabaya yetu. Huwa wanasema mahusiano ni kubebeana mapungufu, ila kila mtu ana non-negotiables zake, vile vitu ambavyo hawezi kufumbia macho.
Mahusiano mengine yanapitia wakati mgumu kwasababu kuna mtu alipuuzia zile non-negotiables zake aki-hope kwamba mwenzake atabadilika.
😂😂Subutu!! Mimi sasa hivi nina miaka 26 katika tasnia hii ya nyeto, lakini Kila iitwapo Leo nguvu za kiume ndo zinazidi kuongezeka hadi natamani kuwhotspot wale wanaopungukiwa nazo.
kucompromise ni muhimu sana kwenye relationship... that's why watu wawili wenye ego kubwa ni ngumu sana kudumu kwenye relationship yoyote (iwe ya kirafiki, kibiashara au kingono)Umeongea kitu cha maana sana. It goes both ways.
Aaah wapi. Unakaa upande mmoja sana. Some people change. Halafu hiyo dhana yako ya "non-negotiables" ina uwalakini. Mahusiano yanahusisha compromise kwa sehemu kubwa.
Ila lazima ushirikiane na wengine ili mambo yako yaende. Na ili upate ushirikiano wa wengine lazima angalau uigize unawaamini.Kutokumuamini Binadamu yeyote hapa chini ya jua kuanzia mama, baba, mtoto,mme/ mke, kaka, dada, na wengine wanaofuata ( miyeyusho kichizi) ...I trust myself
Nitapigwa vibao na manesi huko leba 😆 😂Bwanaa eka ka mwishoo😁
Wewe huwa huliwi?Kwani uongo???? skuizi mbona wanawake wanaliwa utumbo
Hebu mu-unblock basi akusalimie 🏃♀️😌Kumbe upo hai.
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Legendiiii, Legendiiii (kwa sauti ya Nyoshi El Saadat)
Another one (in Dj Khalid's voice)
Hapana bwana..Nitapigwa vibao na manesi huko leba 😆 😂