Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #381
Sababu wasichana ndiyo huwa wanapenda zaidi kung'ang'ania mahusiano yasiyo na tija.Kwanini iwe kwa wasichana pekee?
Ni nadra sana kwa mwanaume kusumbuliwa na mwanamke ambaye hamnufaishi kwa chochote na bado akaendelea kuwa naye.Kwani wao ndio pekee wanao deserve hiyo 'afadhali'?