Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,578
- 31,662
Nipe faida ambazo umezipata kwa kuzaa watoto hapa duniani?Hii ni kwa upande wako ?
Au umeongelea in general?
Mtoto wangu aliniuliza hili swali, "hivi kwanini mlinizaa" and I had to actually think about it. Na ukweli ni kwamba hakuna sababu yoyote ya msingi.Hakuna faida yoyote kuzaa watoto kwenye hii Dunia. Sanasana ni kujibebesha mzigo mzito wa majukumu.
Nimekuuliza walau nijue kwanini umewaza hivyoNipe faida ambazo umezipata kwa kuzaa watoto hapa duniani?
Kila mtu akiwa na mawazo hayaMtoto wangu aliniuliza hili swali, "hivi kwanini mlinizaa" and I had to actually think about it. Na ukweli ni kwamba hakuna sababu yoyote ya msingi.
Na yeye akasema kama wewe, hataki watoto ni mizigo tu 😂 😆
DaahNajua mnapitia magumu lakini kazeni moyo ipo siku mtakufa tu.
Idadi ya watu wanaozaliana itapungua, ni too much, waafrika tunazaa sana jamani 🙌Kila mtu akiwa na mawazo haya
Sijui itakuaje 😂😂
😂 hivi duniani sisi ndio tunaongoza kuzaliana etIdadi ya watu wanaozaliana itapungua, ni too much, waafrika tunazaa sana jamani 🙌
Uhakika🤝Najua mnapitia magumu lakini kazeni moyo ipo siku mtakufa tu.
Amina, natumai wanakua ni watu wema 🙏Ukichagua kuyaishi mapenzi ya Mungu,Mungu hukuchagulia watu wa kuambatana nao!
Ukishazaa mtoto unapoteza muda mwingi na pesa nyingi katika kumlea na kumtunza huyo mtoto.Mtoto wangu aliniuliza hili swali, "hivi kwanini mlinizaa" and I had to actually think about it. Na ukweli ni kwamba hakuna sababu yoyote ya msingi.
Na yeye akasema kama wewe, hataki watoto ni mizigo tu 😂 😆
Soma reply yangu #310.Nimekuuliza walau nijue kwanini umewaza hivyo
Wewe tena unanitwisha swali🙌
Tayali mkuu🤝Soma reply yangu #310.
Pole Enzo, acha hii mifungo iishe tuone kama mambo yatakaa sawa!Mwezi huu unanikosesha hela sana😭😭
Nilishaona mtu ameandika hivyo humu jukwaani.Eenh! Hivi ndio wamefikia huko🫢
Hata sijui, ni wenge tu, wanatafuta namna ya kujipa moyo!Hivi ni kitu gani kinawafanya waone wanatuweza sana? Maana sikuhizi kijana akiokota binti sinza anakuja kujitapa humu kuwa wanawake wote blah blah blah 😒
Huto kubwlika na wote, huto pendwa na wote. Ukikubaliana na hili maisha yanakuwa marahisi
mkuu una uhakika hiki ni kingereza?Life the love you Love,
Love the life you life.
Mind your own business.
Kamuangalie ted upunguze stress comradeThanks
Dahh basi akija girl atakimbilia kwa mzee tu😆 sijui huwa ni kwanini,Boys wangu nawaita mikia, hawapatani na baba yao maana hawachekei.
Ila mimi wananiandama kila sehemu 😂 nasubiri wapate magirlfriend nianze kusikia mikasa.