Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Hata za kike, kuna wakati unafika zinapungua, ndiyo uhalisia wa maisha.
Hee, hapo umenipa jambo jipya. Najua nguvu za kiume kupungua mara nyingine ni round moja halafu inabidi upumzike wiki nzima ndio usikilizie mchezo tena, au unaanza mchezo na kuishia katikati bila hata mshindo. Sasa nguvu za kike zinapunguaje? Mie siku zote najua wanawake hawana tatizo hata miaka 80 huko ukimtekenya panapotakiwa mnacheza, ili mradi njia imemwagiwa maji ipitike kirahisi!
 
Exactly! Au kujaribu kumshape unavyotaka wewe ukiamini atakufaa, anaweza kukufaa kwa muda baadaye akarudi kwenye uhakisia wake, hakuna rangi utaacha kuona🙌🏾
Ni kweli kabisa, either unamkubali kwa vile alivyo au unaachana naye. Hayo ndiyo machaguo mawili ambayo tunayo, mengine ni mambo tunajiambia ili kujipa moyo au kwa sababu tamaa nyingine zimetuzidi nguvu.
 
8.Lazima uolewe au uoe otherwise wewe ni limbukeni aka gen Z

Msinipopoe😀 ila 5 na 6 ni uongo
 
Namba 07 ,iprintiwe tafadhali ,hao watu wana uwezo wa kukupeleka mbali kimaisha na bado kukurudisha chini vile vile
Ni kweli kabisa, naweza nikaandika kitabu kuhusu ndugu wa wazazi wangu.
Wazazi wangu wote ni watoto wa kwanza kwenye uzao wao na mimi ni mjukuu wa kwanza pande zote.

Daah 🙌🙌🙌🙌
 
Ni kweli kabisa, naweza nikaandika kitabu kuhusu ndugu wa wazazi wangu.
Wazazi wangu wote ni watoto wa kwanza kwenye uzao wao na mimi ni mjukuu wa kwanza pande zote. Daah 🙌🙌🙌🙌
Usiqndike mpaka hapo tayari tunajua wewe mshahara wako sio wako ni wa wote .
Wewe ni kimbilio wakati wa shida ila ni dustbin kwa uliowainua .

Najua wazazi wako kuna mengi hawakufanya na walikuwa na uwezo wa kufanya ila waligubikwa na dhana ya kusaidia wadogo nao wasogee sehemu fulani ila leo ni wahanga wa kuonekana hawakuwasaidia .

Ndugu ndugu ndugu hawa watu ukiwezq kuwatoq kwenye circle yako shukuru sana na jitahidi wasirudi tena .
 
Kwenye maisha ya sasa ukiamua kujiripua ukaoa ujue kutombewa ni wajibu ambao huwezi kukwepa tena utatombewa na wale watu ambao huwezi kudhania kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…