Ukweli gani mgumu umekubaliana nao baada ya kuwa mtu mzima?

Kwahiyo wewe watu wakija kwenye maisha yako unawang’ang’ania? Au huelewi nimeandika nini? Hujui kuna kuhama mkoa, kuna majukumu kuongezeka, kuna kuhama imani fulani, kuna kuanzisha familia etc..?? Basi utakuwa hujakuwa bado!
Kwahiyo!?

Ila endelea kutoa ya moyoni unaonekana umeumizwa sana kihisia.
 
Wazazi sio mashujaa, ni watu wakawaida tu kama sisi
 
;Msaada sio haki yangu.

Namba 4. Mwaka umepita sasa hakuna siku nalala nisimkumbuke dada kuna muda ni ndoto bado . sometimes napiga namba yake inaita adi inakata..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…