Ukweli kuhusu Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine

Wakuu naomben kuuliza nimejiunga na diploma hapo sua caurse niliyo chagua ni tropical animal healt vip kuhusu market yake ya ajiranimemaliza lita morogoro

inategemeana mana kupata kaz probability,
ajira sana sana wilayan unaweza pata.
 
Je mimi nimechaguliwa facult ya rural development ila ninahitaji kubadili na kuchukua agribusinec utaratibu okoje nisaidie hapo
 
heslb nao wapo kimya huku wakisema "wanafunz vyuo vikuu kukosa mkopo"
TUWAELEWAJE?
 
karibuni ndugu hasa wa pale nelson mandela freedom square( MAZIMBU CAMPUS).Karibuni katika uwanja usiofilisika kwa maana mda wote yaani masaa 24 na siku saba za wiki watu wapo tu, si weekend wala siku za masomo pale hapakosi watu. kuhusu masomo ni kawaida sana kwani lecture huanza saa 1:45 asubuhi hadi 1:20 jioni. na lecture moja ni masaa 3. hivyo mara nyingi unakuwa nazo 3 kwa siku. na kuhusu maswala ya dini kila dhehebu lipo na yako committed sana hivyo kuhusu hilo wala msiwe na shaka. ila wale first year nawakumbusha kujiaandaa na test ya communication skills ni maswali 100 tu hivyo jiandaeni ni hii ni kwa mwaka wa kwanza nyote.
 
Inasaidia nin au ina umuhimu gan
 
Kama una 100% ya mkopo kuna hela unatakiwa kulipia?

Kama Una 100% Mkopo, Utalipa Tu Zile Fedha Za Awali Kwa Ajili Ya Registration Ni Kama Laki Na 98 Kama Hakutakuwa Na Mabadiliko Pamoja Na Hela Ya Accomodation Kama Pia Utahitaji, Ambayo Nayo Nackia Imepanda Maana Mwanzoni Ilikuwa Elfu 80, Sahv Nackia Ni Juu Ya Hapo.
 
Vp kuhusu kozi ya bio-processing & post-harvest engineering?
 
Inasaidia nin au ina umuhimu gan

Hii inasaidia kujua uwezo wa wanafunzi katika hasa maswala ya communication skills kwasababu ukishindwa kupata nusu katika test hiyo ni lazima usome course ya communication skills 1 ila ukifaulu hauisoma labda ukitaka mwenyewe kwa ajiri ya faida binafsi
 
kwa wale first year unaeza tembelea tovuti ya chuo chetu ili upate ku download medical form pamoja na registration form

www.suanet.ac.tz
 
Dahh ze dudu nimeanza kukusikia kitambo tangu nipo kidato cha tano hadi leo hii naingia sua mwaka wa kwanza mkuu shida nini na utamaliza lini.......kingine nitafutie kademu kazurikazuri mkuu

we jamaa unawaza ngono tuu...sua haina masihara sana..karibu mazimbu dogo!!
 
uwaza ngono tuu...sua haina masihara sana..karibu mazimbu dogo!!
 
Back
Top Bottom