Wakuu naomben kuuliza nimejiunga na diploma hapo sua caurse niliyo chagua ni tropical animal healt vip kuhusu market yake ya ajiranimemaliza lita morogoro
inategemeana mana kupata kaz probability,
ajira sana sana wilayan unaweza pata.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomben kuuliza nimejiunga na diploma hapo sua caurse niliyo chagua ni tropical animal healt vip kuhusu market yake ya ajiranimemaliza lita morogoro
Je mimi nimechaguliwa facult ya rural development ila ninahitaji kubadili na kuchukua agribusinec utaratibu okoje nisaidie hapo
UNABADIL, MPK UWAH MAPEMA CHUO TAR 13 uwepo chuon,
Inasaidia nin au ina umuhimu gankaribuni ndugu hasa wa pale nelson mandela freedom square( MAZIMBU CAMPUS).Karibuni katika uwanja usiofilisika kwa maana mda wote yaani masaa 24 na siku saba za wiki watu wapo tu, si weekend wala siku za masomo pale hapakosi watu. kuhusu masomo ni kawaida sana kwani lecture huanza saa 1:45 asubuhi hadi 1:20 jioni. na lecture moja ni masaa 3. hivyo mara nyingi unakuwa nazo 3 kwa siku. na kuhusu maswala ya dini kila dhehebu lipo na yako committed sana hivyo kuhusu hilo wala msiwe na shaka. ila wale first year nawakumbusha kujiaandaa na test ya communication skills ni maswali 100 tu hivyo jiandaeni ni hii ni kwa mwaka wa kwanza nyote.
Kama una 100% ya mkopo kuna hela unatakiwa kulipia?
Inasaidia nin au ina umuhimu gan
kwa wale first year unaeza tembelea tovuti ya chuo chetu ili upate ku download medical form pamoja na registration form
Welcome to Sokoine University of Agriculture
Dahh ze dudu nimeanza kukusikia kitambo tangu nipo kidato cha tano hadi leo hii naingia sua mwaka wa kwanza mkuu shida nini na utamaliza lini.......kingine nitafutie kademu kazurikazuri mkuukwa wale first year unaeza tembelea tovuti ya chuo chetu ili upate ku download medical form pamoja na registration form
Welcome to Sokoine University of Agriculture
Dahh ze dudu nimeanza kukusikia kitambo tangu nipo kidato cha tano hadi leo hii naingia sua mwaka wa kwanza mkuu shida nini na utamaliza lini.......kingine nitafutie kademu kazurikazuri mkuu

uwaza ngono tuu...sua haina masihara sana..karibu mazimbu dogo!!
heslb nao wapo kimya huku wakisema "wanafunz vyuo vikuu kukosa mkopo"
TUWAELEWAJE?