Ukweli Kuhusu Idadi ya watu 3.9B kuangalia msiba wa Rais Dkt. Magufuli

Mnafiki ni yule anetumia nguvu nyingi kuaminisha umma kua mtu Fulani ni muongo pasipo yeye kudhihirisha ukweli ni upi.
 

Umejiunga juzi jumamosi kuja kuleta propaganda za kizee ili kumtetea dhalimu, wenzako hii kazi imewashinda maana dhalimu hafai kutetea. Kwa taarifa yako huu ni mwisho wa siasa za kidhalimu ndani ya nchi hii, kama ulikuwa haujafanikiwa kwa wale uliotumwa kuwateka ama kuwaua, basi ujue boss wenu kaondoka, hivyo tafuta kazi nyingine ya halali maana mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Shubamit wahed nyie pisi kali mataga mnafikiria uwongo wenu unawasaidia lolote,heri ngekua mnapata pesa kwa kusema uwongo.. mataga ni zero brain
 
Hadithi za elfulela ulela , PM wenu aliwazihesabu hao watu ? Au ndio promo naona kitengo wanastahili pongezi kwa kuhakikisha marehemu Jiwe anapewa sifa nzuri tu tofauti na alivyokuwa enzi za uhai wake .
 
Maelezo marefu na attachments nyingi,sijajua lengo lako au unamuonea wivu maiti?

Huo muda wa kufanya(kuandika) hivi ungefanya hata kitu cha maana juu ya maisha yako muda si mrefu ungepiga hatua.

Watanzania kwa vitu vya kijinga jinga, sijui nani katuroga.
 
Wewe mzee tangu uliposema umeongea na majaliwa ambaye ni classmate wako amekuhakikishia kuwa Rais yuko salama na anachapa kazi unadhani kuna mtu atakuamini tena humu?

Population ya dunia ni watu wangapi, tuondoe watoto na wasio na access na Tv na internet, achilia mbali wasioifahamu Tz na Magufuli.
 
Ni aibu sana kwa Waziri Mkuu kulitangazia Taifa takwimu za UONGO ambazo hana uthibitisho nazo na hakuhakikisha anatumia vyanzo sahihi kupata ukweli. Mtu kama huyu si anaweza kuliingiza Taifa kwenye maafa makubwa kutokana na taarifa feki za mitaani.
 
Toa na wale ambao upande wao wa dunia ilikuwa usiku mnene.
 
Wame jumlisha na watu wa sayari ya Mars! We nani adi upinge unaijua V8 wewe?
 
Acha kumdharau Mungu wewe.
Sane, he can't talk about his life where he's going Since I don't have that limit, and whoever knows about his life where he's going, it's just God, now who are you again about God's decision

And that's why when I say you're stupid, I mean
 
Mie sielewi...kwani hata kama wametazama dunia nzima au watu 5k kwan kipi cha ajabu?.. hebu jaman mambo mengine tuyaache yapite...hayana logic kbs...au la mnataka kuweka kwenye guinness
Fikiria mkuu wewe umekuwa na akili kubwa kumzidi PM wetu,hongera sana
 
Kwa hiyo ni kama Deo Kisandu wa Kenya? PM ndiyo alipata takwimu huko! Si tulikubaliana takwimu zitoke NBS?
Ulikubaliana na Nani?takwimu zote zinazowafurahisha viongozi NA KUWANYANYUA KISIASA hazina haja ya kutoka NBS...YOYOTE TU ANAWEZA ZIPIKA..[emoji16][emoji16]
 
Katika uchaguzi mkuu uliopita
Ccm kiliwakodi vijana wanaojua kusoma na kuandika kwenda kupiga kura za ndio kwa reisi magufuli siku mbili kabla ya uchaguzi ( ushahidi ndugu yangu alishiriki zoezi hilo ofisi ya ccm kinondoni) waliahidiwa kupewa 5000 na hawakupewa mpaka leo.
Wasimamizi wakuu wa Vituo walifungua Vituo saa 9 usiku. Huko ndani walipiga Kira za ndiyo kwa magufuli. Waliambiwa na TISS na wakurugenzi wasiogope chochote.
We aka endlea kuamini kwamba watanzania wanaipenda ccm.
Unaowaita wasaliti na wanashiriana na mabeberu Sioux waliosaini mikataba ya BUZWAGI. EPA NA KAGODA . HAOHAO UNAOWAITA WATAKATIFU LEO.
Waliuza numbs za umma kwa mahawala zao kuna kajala wa kebys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…