Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Kidogo uko sawa braza,tatizo moja tu,,El alikuwa ni mungu aliekuwa anaabudiwa caanan,anajulikana kama mmoja wa caananite deity kabla hata ya ujio wa abraham caanan,
El ndiyo aliitwa Mungu mkuu alie juu,,maana yake aliikuwa mungu wa milimani,ndo maana ilikuwepo destruri ya manabii enzi hizo kwenda milimani kuongea na mungu huyo mkuu,,na kwa desturi ilikuwa marufuku kujenga nyumba ndefu kwenda juu na ndo asili ya hekaya ya BabEl tower kuwa wanadamu walitaka kujenga jumba refu hadi mbinguni alipo huyo mungu mkuu,El,

So haingii akilini,mungu wa caanan yaani El ndo jina lake apewe yakobo kuwa kapigani na El na kum conquer,
 
Kwa hiyo waarabu kuichukia Israel ni kutokana na sio mwenzao ?! Aisee.

Kwa nini Nyerere mtu mweusi mwafrika aliichukia Israel ?

Unaunga mkono ushenzi wa Israel pale Palestine na kwa wapalestine ?
Pale palastine tatizo sio waisrael,,,waliishi vizuri tu kabla wazungu hawajaleta watu wao na kudai ni wayahudi
 
Iran ni Indo europe sio semitic
 
Nimependa ulipoanza na Phrase ya Tupeane elimu....
Nimefurah kuona hivyo na naomba na mimi nijibu hoja zako na wewe unaweza ukachangia baadiya...

wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.
Hapa ndo ulipoharibu sasa...

Sitaki kuamini Hujui kuwa Ibrahimu alikuwa Mwarabu sijui maybe Sababu una chuki na Warabu au hupendi kusikia Sehemu wakitajwa waarabu....

Bhasi Kiasili ibrahimu ni Mwarabu na nitatoa Maelezo kwa kina na Maandiko pia...

ibrahimu alizaliwa katika nchi inayoitwa Ur (zamani)
iliyokuwa sehemu ya zamani ya Mesopotamia
(ambazo zilikuwa nchi kama nne Shamu,yordani na uru) kama bado akili yangu Ya Historia ipo...

ambayo kwa sasa hiyo Ur au uru inajulikana kama Iraq...
sasa tuanze na hapa kwamba ibrahimu alizaliwa iraq...
Ambayo ilikuwa ni ur of chaldean au ur of chaldeas
Au unaeza uuita uru wa wakaldayo...

Na Ni raia wa iraq kam biblia inavyosema kabla ya kumtaka baada ya kuoa kwenda nchi ya israeli ya sasa Ambayo ndiyo kanaani na sshemu kidogo ya nchi ya kifilisti ambay ndo palestina ya sasa....

Mwanzo 11:27-31



Ngoja nikuongezee Faida moja hapo...
Umeona imeandikwa akaondoka kutoka Uru akaenda mpaka Harran au harani kama ilivyoandikwa sasa Harran ni nchi ambayo ilikuwa katikati ya uturuki na sham (Syria) au Dameski.....ambayo kwa sasa ni sehemu ya uturuki ....
Kwahyo kabla ya kuenda Israeli alikaa uturuki kwanzaa....

Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.

Hagar au hajiri hakuwa Mwarabu Ilo nimelipinga tangu mwanzo alikuwa mmisri na alikuwa mtoto wa Mfalme sa misri alikuwa Binti wa mfalme...

Misri ni nchi ambayo ilikuwa miongoni mwa zilizokuwa na utawala wake na ilikuwa ina lugha ya kimisri wengi wanapenda kuita Afroasiatic language wakristo wengi wanaita coptic language ma hawakuwa na race yoyote ya Uarabu na ndo maana nenda kokote hukuti Hajar au hagari akiwa potrayed kwa Rangi nyeupe hata picha au hata kwenye movies kwa sababu hakuwa mwarabu....


Kasome kuhusu Ugomvi wa Palestine (Wafilisti) na Israel (Kanaani) maana unaonekan bado hujajua chanzo...
Philistine na Canaan hawana undugu wa hali yoyote ile....

Kama unasema kuhusu Taifa la canani nijibu nikupe maelezo kama unasema kuhusu mesopotamia nipe nikujibu pia...

So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.
Ibrahimu alikuwa Mwarabu som hapo juu ☝️☝️☝️☝️
Musa ni Muebrania baba yake ni Amram na mama yake ni Yochebed wote walikuwa wa Kabila la lawi watoto wa wa Yakobo mtoto wa Isaka, Mtoto wa Ibrahimu (ambaye alizaliwa uru)
Na kuhusu Suleiman nadhami nilikujibu kuwa alikuwa Mweusi n wala sio mzungu wala muisrael
Nasuburi any chalenge...
 
Kwa mujibu wa kitabu cha Dini ya kikristo... Adamu ndio alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa... Sijui Dini yenu wewe inasema nani aliumbwa wa kwanza... Maana siku hizi Dini ni nyingi
Sio siku hizi kuna dini kama Wabudha na Wahindu na Dini ya Samarian ambayo mmeiba ile story ya nuhu dini hizi zina miaka zaidi ya laki moja duniani
 
🤣🤣🤣🤣🤣 Jitahidi usome
 
Ishamael hakuwa mtoto wa nje ya ndoa Shika adabu yako....
 
Mtoto aliyependwa sana na Ibrahimu alikuwa Ishamael...
Hey uko amatuer sana kwenye usomaji wa biblia...
 
Sawa je unafahamu mamake yakobo ni syrian?na kwamba ili aoe Yakobo ilibidi arudi syria kwa mjombake Laban kwa ajili ya kuoa?,kwahiyo kiufupi uzao wa yakobo wote wale wana 12 ni syrian kwa mujinu wa DNA
Watoto wa Yakobo walikuwa 13 na sio 12
 
Haya maneno umeambiwa na nani?
 
Jamaa hajui mengi...Israel ilianzia kwa Yakub na babu yao Ibrahim hakuwa muisrael wala muarabu..
Sawa sielewi nieleweshe,una maana gani kusema israel ilianza kwa yakub na baba yake asiwe ukoo huo?? Kinasaba unaweza kuwa kabila au ukoo ambao baba yako sio ?? Ina maana huyo mtu alikana nasaba damu na ukoo wa baba yake na babu yake anaanzisha kabila lake na ukoo wake ambao hauna uhusiano na baba yake na babu yake? Wewe hapo unaweza sasahivi ukaamua ukawa sio kabila wala ukoo wa baba yako ma babu yako?na huyo ismail huo ukoo wa waarabu alianza kwa nani?
 
Bado haupo sahihi kwasababu mjakazi ambaye Ibrahim alizaa nae alikuwa Mmisri na wamisri wa nyakati hizo walikuwa ni weusi kwahiyo hawakuwa Waarabu Historia hii tuliyo nayo imepikwa kuficha jambo.
Una hoja ..

Ibrahim asili yake ni Iraq na Hajiri alikuwa mweusi, hata mafarao walikuwa weusi.

zitto junior The Boss ongezeni nyama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…