Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Kwa hiyo waarabu kuichukia Israel ni kutokana na sio mwenzao ?! Aisee.Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.
Kwa nini Nyerere mtu mweusi mwafrika aliichukia Israel ?
Unaunga mkono ushenzi wa Israel pale Palestine na kwa wapalestine ?