Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Ni hivi kuna kipindi Egypt ilikuwa conquered na cushite kingdom,,cushite makao makuu yalikukua Sudan kusini karibu na ethiopia,hivyo kuna kipindi wali occupy misri yote hadi baadhi ya maeneo ya caanan,,hawa walikuwa ni weusi,Huna akili, wewe peke yake ndio hujui kama wamisri walikuwa weusi(cushites)..
The ancient Egypt ambayo kwa wakati huo ikiitwa Memphis ilikaliwa na watu weusi na baadae, Alexander the Great mfalme wa Macedonia ya zamani alivamia na kuifanya Memphis kuwa jimbo lake na akaanzisha makao makuu yake mjini Alexandria
Hawa waarabu unaowaona walivamia Misri miaka ya 600 AD kipindi cha uongozi wa Khalidun Khalifa ambaye alimtuma kamanda wake Amr Ibn Al as ndio akafanikidha kuiteka Misri sasa baada ya hapo ndio watu weusi wakaanza kuwakimbia waarabu na kuja kusini mwa Mto Nile hasa maeneo ya Sufan, tafuta maarifa acha kujiropokea
Again nimekuona tena huna akili uliposema Ibrahim ni Muisrael(yaani hapa hujui hata maana ya Israel)
Ibrahim alitokea eneo la Uru ya ukaldayo eneo ambalo kwa sasa linaitwa IRAQ(nchi ya kiarabu) na kuhamia Canaan(Israel ya sasa).
Utawala wao ulijulikana kama 29th dynast kipindi hicho ndo jina la farao lilianza kutumika kuashiria mfalme,na hawa walikuwa weusi,,
Utawala wa 29dynast ulikuwa kuangushwa na Asyrian empire,walipoteka caanan mpaka misri na hivyo wakushi wakarudishwa nyuma na kukita mizizi tena sudan,,mji wa meroe kama sijakosea