Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Ukweli kuhusu Israel, Waarabu, na Ibrahim

Nchi ilikuwepo ila jina ndio limekuja hapo badae

Ni kama unavyosema Chief Mkwawa au Kinjeketile alikuwa Mtanzania wakati miaka hiyo jina Tanzania au nchi hiyo haikuwepo
Nchi hiyo iliitwaje wakati wa Ibrahim?

Kama haliwepo "jina" ndiyo hiyo nchi haikuwepo. Tusijazane ujinga.
 
Nchi hiyo iliitwaje wakati wa Ibrahim?

Kama haliwepo "jina" ndiyo hiyo nchi haikuwepo. Tusijazane ujinga.
Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...
Jina la nchi ya Abrahamu katika Biblia ni "Kanaani." Abrahamu aliitwa na Mungu kuondoka katika mji wa Ur na kuelekea Kanaani, ambayo ilikuwa eneo la ardhi takatifu ambalo baadaye likawa sehemu ya nchi ya Israeli.
 
Sawa je unafahamu mamake yakobo ni syrian?na kwamba ili aoe Yakobo ilibidi arudi syria kwa mjombake Laban kwa ajili ya kuoa?,kwahiyo kiufupi uzao wa yakobo wote wale wana 12 ni syrian kwa mujinu wa DNA
Mama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.
Mesopotamia haipo tena kama nchi iliyokuwepo katika nyakati za Biblia. Ilikuwa ni eneo la kihistoria katikati ya mito ya Tigris na Euphrates, na eneo hili linajumuisha sehemu za nchi za sasa za Iraq, Syria, Uturuki, na Iran. Kwa hivyo, haiwezi kutazamwa kama nchi iliyopo leo, lakini badala yake ni eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kitovu cha tamaduni za zamani na maendeleo ya kibinadamu.
 
Sasa hiyo ndo tunaita ki 'psychology denial' 🤣🤣
Umeomba kifungu kama suleiman mweusi nimekupa ngoja namaliza kuandika jibu la waraka wako wote hapa nitautuma...
Sawa nangoja
 
Kivipi boss wakati historia inajieleza bayana
Digging to find out, or to bury, the truth!
Very few Bible scholars believe nowin the historicity of the book of
Genesis, especially the narrative of Abraham and Sarah’s life. In the early and
middle 20thcentury, leading archaeologists such as William F. Albright, and
biblical scholars such as Albrecht Alt, believed that the patriarchs were either
real individuals or believable composites of people who lived in the “patriarchal
age”, the 2ndmillennium BCE. But, in the 1970s, new arguments concerning
Israel's past as well as the biblical texts challenged these views. These arguments
can be found in Thomas L. Thompson's The Historicity of the Patriarchal Narratives
(1974), and John Van Seters' Abraham in History and Tradition(1975).
Thompson, a literary scholar, based his argument on archaeology and
ancient texts. His PhD dissertationcentred on the lack of compelling evidence
that the patriarchs lived in the 2ndmillennium BCE, and noted how certain
biblical texts reflected 1
stmillennium conditions and concerns. Van Seters
examined the patriarchal stories and argued that their names, social milieu, and
messages strongly suggested that they were Iron Age creations. In his book, he
argues that there is no unambiguous evidence pointing to an origin for the
stories in the 2ndmillennium BC:Arguments based on reconstructing the patriarch's
nomadic way of life, the personal names in Genesis, the social customs reflected in the stories,
and correlation of the traditions of Genesis with the archaeological data of the Middle Bronze
Age have all been found, in Part One above, to be quite defective in demonstrating an origin
for the Abraham tradition in the second millennium B.C. (...) Consequently, without any such
effective historical controls on the tradition one cannot use any part of it in an attempt to
reconstruct the primitive period of Israelite history. Furthermore, a vague presupposition about
the antiquity of the tradition based upon a consensus approval of such arguments should no
longer be used as a warrant for proposing a history of the tradition related to early
premonarchic times(Van Seters: 1975, 309).Consequently William G. Dever1
has
stated that by the beginning of the 21stcentury, archaeologists had given up hope of
recovering any context that would make Abraham, Isaac or Jacob credible ‘historical figures’
(Dever: 2002, 98n.2).The Historicity of the Patriarchal Narratives: The Quest for the
Historical Abrahamis a book by biblical scholar Thomas L. Thompson, Professor
of Old Testament Studies at the University of Copenhagen. Together with John
Van Seters's Abraham in History and Tradition. This book marked the culmination
of a growing current of dissatisfaction in scholarly circles with the then-current
consensus (or near-consensus) on the Patriarchal narratives.
 
Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.

Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.

Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.

Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.

Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.

So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.

Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.

Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.

Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.

So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.

Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.

Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.

Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.

Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.

Hapa kuna jambo moja.

Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.

Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Una hoja lakin huna mantiki. Hiv hujui kuna Jews waarabu kama walivyo Jews mablack ashkenaz nk
 
Mama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.
Mesopotamia haipo tena kama nchi iliyokuwepo katika nyakati za Biblia. Ilikuwa ni eneo la kihistoria katikati ya mito ya Tigris na Euphrates, na eneo hili linajumuisha sehemu za nchi za sasa za Iraq, Syria, Uturuki, na Iran. Kwa hivyo, haiwezi kutazamwa kama nchi iliyopo leo, lakini badala yake ni eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kitovu cha tamaduni za zamani na maendeleo ya kibinadamu.
Sawa,Rebeca alikuwa ni syrian na lugha aliyoongea ni Aramaic,,kipindi hicho syria ikiitwa Aram kingdom,na wenyeji wa syria wakijulikana kama Arameans
 
Mama ya Yakobo alikuwa ni Rebeka, na alitoka katika eneo la Mesopotamia. Hasa, Rebeka alikuwa binti wa Bethueli na mjukuu wa Nahori, na alikutana na Yakobo alipokuwa anakimbia kutoka kwa ndugu yake Esau.
Mesopotamia haipo tena kama nchi iliyokuwepo katika nyakati za Biblia. Ilikuwa ni eneo la kihistoria katikati ya mito ya Tigris na Euphrates, na eneo hili linajumuisha sehemu za nchi za sasa za Iraq, Syria, Uturuki, na Iran. Kwa hivyo, haiwezi kutazamwa kama nchi iliyopo leo, lakini badala yake ni eneo la kihistoria ambalo lilikuwa kitovu cha tamaduni za zamani na maendeleo ya kibinadamu.
Mesopotamia ya sasa ndio iraq ya leo,kama ilivyo Tanganyika ya sasa ndio Tanzania,,kubadilika jina haimanishi watanganyika walihama wote,wakaja watanzania🤷
 
Mesopotamia ya sasa ndio iraq ya leo,kama ilivyo Tanganyika ya sasa ndio Tanzania,,kubadilika jina haimanishi watanganyika walihama wote,wakaja watanzania🤷
Nimekwambia hapo Mesopotamia ni Iraq, Syria, Uturuki na Iran ya leo
 
Sawa,Rebeca alikuwa ni syrian na lugha aliyoongea ni Aramaic,,kipindi hicho syria ikiitwa Aram kingdom,na wenyeji wa syria wakijulikana kama Arameans
Rebecca alitoka Mesopotamia... Uwezi kusema moja kwa moja ni syria, Mesopotamia ni muunganiko wa Iraq, Syria, Uturuki na Iran... Kwa hiyo sehemu yoyote hapo kati ya hizo, japo pia ushahidi unaweza kuwa wa kweli
 
Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...
Jina la nchi ya Abrahamu katika Biblia ni "Kanaani." Abrahamu aliitwa na Mungu kuondoka katika mji wa Ur na kuelekea Kanaani, ambayo ilikuwa eneo la ardhi takatifu ambalo baadaye likawa sehemu ya nchi ya Israeli.
Rudi juu katazame nimeuliza nini.
 
Nyoosha maelezo wacha kuzunguka mbuyu...

Kaanani ndio Israel ya leo... Kusema Ibrahim ni mtu wa Israel kuna kisa gani sheikh
Hakuna nchi uliyoitwa Israel kabla ya mwaka 1948 tusijazane ujinga. Israel ni nchi mpya kuliko Tanganyika.
 
Ujinga gani tena Faiza binti Foxy...
Jina la nchi ya Abrahamu katika Biblia ni "Kanaani." Abrahamu aliitwa na Mungu kuondoka katika mji wa Ur na kuelekea Kanaani, ambayo ilikuwa eneo la ardhi takatifu ambalo baadaye likawa sehemu ya nchi ya Israeli.
Caanan ni uhamishoni tu,asili ya abraham kwa mujibu wa maandiko ni Paran ilikuwa panda aram kwa sasa kaskazini mwa syria,so hata abraham nae ni syrian.
uteronomy 26:5. A Syrian was my father — That is, Jacob; for though born in Canaan, he was a Syrian by descent, his mother Rebecca, and his grandfather Abraham, being both of Chaldea or Mesopotamia, which in Scripture is comprehended under the name of Syria. His wives and children, by their mothers’ side, and his relations, were Syrians, and he himself had lived twenty years in Syria with Laban. Ready to perish — Through want and poverty, or through the rage of his brother Esau, and the treachery of his father-in-law Laban: see Genesis 28:11; Genesis 28:20; Genesis 32:10.

Or perhaps this refers to the state of Jacob a little before he went down into Egypt, when he and his family were in danger of perishing by famine, had he not been sustained by his son.
 
Nani alikwambia Pharaoh walikuwa watu weusi 😂 tupe uthibitisho kuwa Pharaoh ni mtu mweusi
Huna akili, wewe peke yake ndio hujui kama wamisri walikuwa weusi(cushites)..

The ancient Egypt ambayo kwa wakati huo ikiitwa Memphis ilikaliwa na watu weusi na baadae, Alexander the Great mfalme wa Macedonia ya zamani alivamia na kuifanya Memphis kuwa jimbo lake na akaanzisha makao makuu yake mjini Alexandria

Hawa waarabu unaowaona walivamia Misri miaka ya 600 AD kipindi cha uongozi wa Khalidun Khalifa ambaye alimtuma kamanda wake Amr Ibn Al as ndio akafanikidha kuiteka Misri sasa baada ya hapo ndio watu weusi wakaanza kuwakimbia waarabu na kuja kusini mwa Mto Nile hasa maeneo ya Sufan, tafuta maarifa acha kujiropokea

Again nimekuona tena huna akili uliposema Ibrahim ni Muisrael(yaani hapa hujui hata maana ya Israel)

Ibrahim alitokea eneo la Uru ya ukaldayo eneo ambalo kwa sasa linaitwa IRAQ(nchi ya kiarabu) na kuhamia Canaan(Israel ya sasa).
 
Pia baba mkwe wa isaac ,Bethuel ni syrian,Laban mtoto wa bethuel na mjomba wa jacob ni syrian.
So kumbe hata isaac ukifuatilia sara anaweza kuwa syrian girl
 
Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.
Inaonekana hujui maana ya Israeli. Ibrahim yupo Israeli ilikuwa si yenye kutajika maana yake haikuwepo.
 
Back
Top Bottom