Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakobo ndo aliitwa IsraelUnaposema ibrahim ni muisrael unamaanisha alizaliwa baada ya isaka (israel)?
Mada yake iko sahihi isipokuwa tu aliposema Ibrahim alikuwa MuisraelMada zako Zina mix.
Waarabu mpaka Leo farao Wana muita firauni.
Tambua muafrika ndio aliyewatesa waarabu na wazungu.
Ndio maana hasira zao zipo kwa ajili ya waafrika tokea historia.
Waafrika mungu ndio aliwapa Kila kitu ambao ni weusi.
Ndio maana adamu ni mweusi.
Ni kianza kushusha utaleta mada za CCM.
Ukichangia maendeleo sio mwana siasa ila ukiuliza maendeleo ni mwana siasa tena mpinzani
Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.
Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.
Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.
Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.
Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.
So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.
Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.
Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.
Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.
So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.
Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.
Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.
Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.
Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.
Hapa kuna jambo moja.
Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Mungu wa makundi haya mawili hafanani,hatuwezi ku-conclude kuwa tunaabudu Mungu mmoja.Lazima kwanza ujiulize,Israel ni nani? Israel ni Yakobo na si Ibrahim wala mwanae Isaka. Unaposema Ibrahim hakuwa Mwarabu,umejiuliza asili yake? Jibu ni kwamba Ibrahim alitoka Uru ya Wakaldayo ambayo baadaye ikaitwa Iraq.Je,Iraq ni Waarabu au siyo Waarabu? Yote Kwa yote hawa watu wote si ndugu zangu wala Nini ila wote sisi tunamuabudu Mungu.
Nani kasema Musa Pharaoh na Musa ni waarabu.... Acha kukurupuka, rudia soma kisha uelewe, ukichukua point bila kusoma kwa umakini lazima upuyange kama unavyopuyanga sasaUnaltuazimisha kuwa unaelewa kumbe mwenye empty. Musa hajazaliwa katika nchi ya Kiaarabu nawaakaji wa Misri na mafarao wao hawakuwa waarabu, bali Waafrika weusi. Waarabu Misri waliingia karne ya Sita baada ya Kristo. Kwa mantiki hiyo kama Hajira ni Mmisri basi na yeye siyio Mwaarabu bali Mkushi.
Nani alikwambia Pharaoh walikuwa watu weusi 😂 tupe uthibitisho kuwa Pharaoh ni mtu mweusiUnaltuazimisha kuwa unaelewa kumbe mwenye empty. Musa hajazaliwa katika nchi ya Kiaarabu nawaakaji wa Misri na mafarao wao hawakuwa waarabu, bali Waafrika weusi. Waarabu Misri waliingia karne ya Sita baada ya Kristo. Kwa mantiki hiyo kama Hajira ni Mmisri basi na yeye siyio Mwaarabu bali Mkushi.
Bado unajichanganya ukisema wayahudi wakati Yahudi wametokana na kabila la Yuda ambalo ni.mtoto wa Israel au yakobo na neno yehud ndo YudaWaisraeli maana yake wayahudi ndani ya Israel... Ni kama Mababu zetu waliofariki kabla Tanzania haijaitwa Tanzania, kina Mkawa hawajui hata neno Tanzania ila tunawahita Watanzania
Wewe ndio utaki kuelewa... Hayo yanayokuchanganya wewe ni majina tu Israel, wayahudi yote ni mule mule.Bado unajichanganya ukisema wayahudi wakati Yahudi wametokana na kabila la Yuda ambalo ni.mtoto wa Israel au yakobo na neno yehud ndo Yuda
Ni wapi palipoandikwa kua adamu alikua mweusi?Mada zako Zina mix.
Waarabu mpaka Leo farao Wana muita firauni.
Tambua muafrika ndio aliyewatesa waarabu na wazungu.
Ndio maana hasira zao zipo kwa ajili ya waafrika tokea historia.
Waafrika mungu ndio aliwapa Kila kitu ambao ni weusi.
Ndio maana adamu ni mweusi.
Ni kianza kushusha utaleta mada za CCM.
Ukichangia maendeleo sio mwana siasa ila ukiuliza maendeleo ni mwana siasa tena mpinzani
Are you sure? Maandiko yote yanasema Adam ndo wa kwanza kuumbwa, Sasa kwan Adam alikua mwsrael? Tupe the origin ya Taifa la IsraelWaisraeli maana yake wayahudi ndani ya Israel... Ni kama Mababu zetu waliofariki kabla Tanzania haijaitwa Tanzania, kina Mkawa hawajui hata neno Tanzania ila tunawahita Watanzania
Baba wa Waraabu kivipi na huku mama ake tayar alikuaa Mwarabu, means generation ya waarabu ilishaukuwepo hata kabla ya Ismail. Kasome tenaLakini kwa waarabu wanamwita baba wa waarabu kwa sababu mama yake alikuwa muarabu
Kwa mujibu wa kitabu cha Dini ya kikristo... Adamu ndio alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa... Sijui Dini yenu wewe inasema nani aliumbwa wa kwanza... Maana siku hizi Dini ni nyingiAre you sure? Maandiko yote yanasema Adam ndo wa kwanza kuumbwa, Sasa kwan Adam alikua mwsrael? Tupe the origin ya Taifa la Israel
Ngoja nikurufishie swali! Kwani Ibrahim anapoitwa Baba wa Mataifa mengi ina maana hakukuwa na mataifa hapo mwanzo?Baba wa Waraabu kivipi na huku mama ake tayar alikuaa Mwarabu, means generation ya waarabu ilishaukuwepo hata kabla ya Ismail. Kasome tena
Soma nilichokiandikaa vzurKwa mujibu wa kitabu cha Dini ya kikristo... Adamu ndio alikuwa binadamu wa kwanza kuumbwa... Sijui Dini yenu wewe inasema nani aliumbwa wa kwanza... Maana siku hizi Dini ni nyingi
Wanasema uarabu ni imani kama ilivyo kwa Uyahudi. Ndo maana na wasomali weusi tii tii tii na wao ni waarabu. Jibuti ya wakushi nao wanajiita Waarabu. Uaarabu ni Imani.Tupeane elimu kidogo, kuna watu wanachanganya mambo. Hapa tufundishane jambo moja. Kitu cha kwanza kabisa watu wanachokichanganya ni kuhusu Ibrahim, wengi wanasema Ibrahim alikuwa Mwarabu, ndugu yangu, nikwambie tu kwamba jamaa hakuwa Mwarabu.
Ibrahim baada ya kuzaa na kijakazi ambaye alikuwa Mwarabu, inamaanisha damu yake ilichanganyika na ya Kiarabu na ndiyo maana tunasema Ishmael ni baba wa Waarabu kwa sababu mama yake alikuwa Mwarabu.
Nchi za Kiarabu ambazo zipo kwenye umoja ni hizi, Algeria, Bahrain, Iraq, Jordan, Kuwait, Djibout, Saudi Arabia, Tunisia, United Arab Emirates, Yemen, Somalia, Sudan, Syria, Comoros, Misri, Maurtania, Qatar na Palestina.
Kwa nini Waarabu wanamchukia Israel? Ni kwa sababu si Mwarabu mwenzao. Na hao ndiyo wa kizazi cha Ibrahim. Kwa hiyo kama ulikuwa unahisi Ibrahim alikuwa Mwarabu, futa hiyo akilini mwako.
Hata Iran sio Waarabu, najua wengine mtakuwa hamlijui hili kwa undani. Miongoni mwa nchi za Kiarabu, Iran hayupo kwa sababu yeye si Mwarabu.
So Israel na Waarabu ni baba mmoja ila mama tofauti. Ibrahim alizaa na Muisrael mwenzake kwa kipindi hicho ilikuwa bado haijaitwa Israel na mtoto wake kuitwa Isaka ila yule aliyezaa na kijakazi ambaye ni Mwarabu anaitwa Ishmael. Tatizo kubwa la vita baina ya Mwarabu na Israel ni hapa.
Kama Israel angekuwa Mwarabu, leo usingesikia vita vinavyoendelea huko. Na mara zote Israel anawaambiaga kwamba nchi zote za Uarabuni ni mali ya Israel na ndiyo maana kila anapokwenda kupiga, anachukua ardhi na kutanua nchi yake.
Israel walipewa nchi ndogo sana wakae baada ya kutawanywa na Adolf Hitler, baada ya kuanza kurudi, wakaitaka nchi yao, lakini kwa bahati mbaya waliwaona Waarabu washajigawia ardhi yao. Walichokifanya ni kuanza kupigana nao.
Kama unakumbuka Umoja wa Mataifa uliingilia kati, ulichukizwa na kitendo cha Israel kuwapiga Waarabu, walichokifanya, wakawapelekea Biblia ambayo kwa nyuma kuna ramani ya Israel tangu enzi za Musa. Wakawaonyesha na kuwaambia kwamba nchi zote za Uarabuni ni Israel, tutakapokuwa wengi, tutaendelea kupiga na kuirudisha nchi yetu.
So jua hili. Ibrahim hakuwa Mwarabu. Musa hakuwa Mwarabu. Suleimani mtoto wa Daudi na baba yake huyo hawakuwa Waarabu. Ni Waisrael ambao bado wanaendelea kupigana na Waarabu ili wachukue nchi yao iliyowafanya waondoke Misri.
Uzao wa Ibrahim ndiyo uliomleta Yusufu ambaye akawachukua Waisrael kwenda kuishi Misri. Maisha yalikuwa ya raha sana, watu waliionjoi maisha lakini baada ya mfalme huyo kufa, ndipo akaja mfalme mwingine ambaye sasa hakuwataka Waisrael, akawafanya watumwa wake.
Wakafanyishwa kazi. Baadaye ndipo Musa akazaliwa ndani ya ardhi ya Kiarabu. Akapewa jukumu la kuwatoa Israel kutoka hapo Misri kwenda kwao. Wakati huo ndio ambao nao Waarabu walikuwa wamejinyakulia nchi, tena walikuwa ni watu wakubwa kimuonekano.
Musa akaanza mchakato wa kuwatoa Israel Uarabuni na kuwapelekea Israel. Waliishi Misri kwa miaka 400. Wakaondoka na kwenda Misri, na walitumia miaka 40.
Musa hakuingia Israel, alikufa jangwani na Mungu kumzika. Wale waliofanikiwa kuingia huko Israel ndio walioendelea kuipambania ardhi yao mpaka leo hii.
Hapa kuna jambo moja.
Vita ya Israel na Waarabu itapamba moto hapo baadaye. Itapigwa vita kali sana. Sasa kwa kuwa Israel ataonekana kuwa kiburi na mwenye nguvu sana, dunia nzima itaanza kumcharaza. Huyu Marekani anayeonekana kuwa karibu na Israel naye atamgeuka, kila nchi duniani itamgeuka na kumpiga.
Mwisho wa siku baada ya kuona wanapigwa sana, watakimbilia mpaka kwenye mlima ule aliopaa Yesu, wataomboleza na kulia, hapo ndipo Yesu atashuka kuimaliza vita hiyo, na huo ndiyo utakuwa mwisho wa kila kitu.
Ww unaweza kuwa na Baba kabla ya kuwa na babu?Ngoja nikurufishie swali! Kwani Ibrahim anapoitwa Baba wa Mataifa mengi ina maana hakukuwa na mataifa hapo mwanzo?