Ukweli kuhusu kampuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja ya Cdqlink investment company

kidadari

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Posts
8,647
Reaction score
9,604
Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya
Screenshot_20220102-110705_Instagram.jpg
Screenshot_20220102-111241_Instagram.jpg
kuwasiliana kwa namba za simu tuu.

Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?

Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.
 
Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamekimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi yaView attachment 2065867View attachment 2065869 kuwasiliana kwa namba za simu tuu.

Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?

Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.
Namimi nataka nijue nmetaman hapo mlandizi na kibaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiona mtu anajielezea sana kuonesha legitimate yake bila umuhimu huo ujue huyo taperi au kuna kitu.

Mfano anapoelezea leseni ,tin na namba ya usajiri ,anataka kuwaaminisha watu kwamba yeye ni legal registered na wakuaminika.....

Huyo fanya utafiti wa kutosha kwanza.kitenfo cha kutoa comment maana yake kuna watu wamepata changanoto yao so hawataki muuijue........obvious wengi ni mataperi wanaotoa comment panel
 
Ukweli unaujua Kwenye makubaliano ya biashara, if you think like a thief or a scammer you will know a thief/scammer!

But some of things are too good to be true, and cheap always turns to be more expensive!

Ila siwajui, wala sijasikia Mabaya Yao!
 
Tangazo pia nina mashaka nalo, haiwezekani viwanja kote vikawa vya size moja

Pia haiwezekani page yao hajawahi comment .tu hata mmoja
 
Kweli haiwezekani vyote vikawa sq 400 bila kuzidi hata 1
Hapo kwenye coments ndo inashangaza page nzima hakuna coments hata moja?
Hakuna hata walioridhika na huduma zao au waliokutana na changamoto zozote?
 
Ukiona mtu anajielezea sana kuonesha legitimate yake bila umuhimu huo ujue huyo taperi au kuna kitu.

Mfano anapoelezea leseni ,tin na namba ya usajiri ,anataka kuwaaminisha watu kwamba yeye ni legal registered na wakuaminika.....

Huyo fanya utafiti wa kutosha kwanza.kitenfo cha kutoa comment maana yake kuna watu wamepata changanoto yao so hawataki muuijue........obvious wengi ni mataperi wanaotoa comment panel
Kuna kitu wanaficha hawa watu.
 
Screenshot_20220219-102153.jpg
NIMEULIZWA NIMEPEWA HAYA MAJIBU.... ni bora tungepata watu walio kwisha nunua na sio nadharia....
Embu tupate mrejesho kwa walionunua na hii kampuni.....
 
View attachment 2123727NIMEULIZWA NIMEPEWA HAYA MAJIBU.... ni bora tungepata watu walio kwisha nunua na sio nadharia....
Embu tupate mrejesho kwa walionunua na hii kampuni.....
Changamoto kubwa kupata waliohudumiwa na hiyo kampuni....mara nyingi tungetegemea coments mbalimbali toka kwa wanufaika maana wapo digital zaidi.
But labda tuendelee kusubiri
 
Kuwa makini Sana kuna kampuni ya viwanja huu ni mwaka wa nne tuna kesi nao jumla ya watz 200 Dar, Arusha, Dodoma tumeliwa zaidi ya bilioni moja, Mimi nimeliwa milioni 6 kuna watu hadi milioni 30 wameliwa. Wamelipia viwanja kupewa mtihani wanapewa viwanja vya watu. Mmiliki wa kampuni kala hela za wateja na ajawalipa wamiliki wa viwanja. Alikuwa anawalipa robo, wengine sound atawalipa ajafanya malipo kwa wamiliki wa mashamba anaanza kuuza viwanja. Kampuni inaitwa VKP investment for youth development mmiliki jina Yona ajulikani alipo.
So hizi kampuni za viwanja au ya kuagiza magari eti unalipa nusu au robo unaagiziwa gari kisha likifika utaendelea kulipa kidogo kidogo.
Chunga Sana. Mswahili ajawahi kuwa seriously kwenye biashara.
Kabla ya kufanya maamuzi ya nusu bei fanya tafiti sana.
Nb sio kampuni zote ni wezi but chunga Sana.
 
Ukiona mtu anajielezea sana kuonesha legitimate yake bila umuhimu huo ujue huyo taperi au kuna kitu.

Mfano anapoelezea leseni ,tin na namba ya usajiri ,anataka kuwaaminisha watu kwamba yeye ni legal registered na wakuaminika.....

Huyo fanya utafiti wa kutosha kwanza.kitenfo cha kutoa comment maana yake kuna watu wamepata changanoto yao so hawataki muuijue........obvious wengi ni mataperi wanaotoa comment panel
Sawa sawa
 
Kuwa makini Sana kuna kampuni ya viwanja huu ni mwaka wa nne tuna kesi nao jumla ya watz 200 Dar, Arusha, Dodoma tumeliwa zaidi ya bilioni moja, Mimi nimeliwa milioni 6 kuna watu hadi milioni 30 wameliwa. Wamelipia viwanja kupewa mtihani wanapewa viwanja vya watu. Mmiliki wa kampuni kala hela za wateja na ajawalipa wamiliki wa viwanja. Alikuwa anawalipa robo, wengine sound atawalipa ajafanya malipo kwa wamiliki wa mashamba anaanza kuuza viwanja. Kampuni inaitwa VKP investment for youth development mmiliki jina Yona ajulikani alipo.
So hizi kampuni za viwanja au ya kuagiza magari eti unalipa nusu au robo unaagiziwa gari kisha likifika utaendelea kulipa kidogo kidogo.
Chunga Sana. Mswahili ajawahi kuwa seriously kwenye biashara.
Kabla ya kufanya maamuzi ya nusu bei fanya tafiti sana.
Nb sio kampuni zote ni wezi but chunga Sana.
Umetufungua macho...
 
Kununua viwanja kwenye hizi kampuni inatakiwa ujiridhishe sawa kuwa regesterd hakuzuii kutapeliwa.
 
Kama wanaweka off comments hapo si salama. Kampuni active uruhusu message.
 
Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi yaView attachment 2065867View attachment 2065869 kuwasiliana kwa namba za simu tuu.

Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?

Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.
Mimi nilikua mfanyakazi kwenye kampuni hii ni matapeli. Unauziwa plot ambayo wao awaimiliki.
 
Kuwa makini Sana kuna kampuni ya viwanja huu ni mwaka wa nne tuna kesi nao jumla ya watz 200 Dar, Arusha, Dodoma tumeliwa zaidi ya bilioni moja, Mimi nimeliwa milioni 6 kuna watu hadi milioni 30 wameliwa. Wamelipia viwanja kupewa mtihani wanapewa viwanja vya watu. Mmiliki wa kampuni kala hela za wateja na ajawalipa wamiliki wa viwanja. Alikuwa anawalipa robo, wengine sound atawalipa ajafanya malipo kwa wamiliki wa mashamba anaanza kuuza viwanja. Kampuni inaitwa VKP investment for youth development mmiliki jina Yona ajulikani alipo.
So hizi kampuni za viwanja au ya kuagiza magari eti unalipa nusu au robo unaagiziwa gari kisha likifika utaendelea kulipa kidogo kidogo.
Chunga Sana. Mswahili ajawahi kuwa seriously kwenye biashara.
Kabla ya kufanya maamuzi ya nusu bei fanya tafiti sana.
Nb sio kampuni zote ni wezi but chunga Sana.
Kiongozi Mimi Huyo mmilki wa hiyo kampuni iliyowazurumu viwanja hapo juu ndio kaanzisha kampuni mpya inayoitwa cdqlink.
 
Bora umeleta na ushahidi kidogo tujue?
Vipi Kampuni ulinaitwa Land General limited nayo biashara zake ziko vipi?
 
Back
Top Bottom