kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,604
Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya
kuwasiliana kwa namba za simu tuu.
Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?
Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.