Namimi nataka nijue nmetaman hapo mlandizi na kibahaNimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamekimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi yaView attachment 2065867View attachment 2065869 kuwasiliana kwa namba za simu tuu.
Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?
Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.
Kweli haiwezekani vyote vikawa sq 400 bila kuzidi hata 1Tangazo pia nina mashaka nalo, haiwezekani viwanja kote vikawa vya size moja
Pia haiwezekani page yao hajawahi comment .tu hata mmoja
Kuna kitu wanaficha hawa watu.Ukiona mtu anajielezea sana kuonesha legitimate yake bila umuhimu huo ujue huyo taperi au kuna kitu.
Mfano anapoelezea leseni ,tin na namba ya usajiri ,anataka kuwaaminisha watu kwamba yeye ni legal registered na wakuaminika.....
Huyo fanya utafiti wa kutosha kwanza.kitenfo cha kutoa comment maana yake kuna watu wamepata changanoto yao so hawataki muuijue........obvious wengi ni mataperi wanaotoa comment panel
Changamoto kubwa kupata waliohudumiwa na hiyo kampuni....mara nyingi tungetegemea coments mbalimbali toka kwa wanufaika maana wapo digital zaidi.View attachment 2123727NIMEULIZWA NIMEPEWA HAYA MAJIBU.... ni bora tungepata watu walio kwisha nunua na sio nadharia....
Embu tupate mrejesho kwa walionunua na hii kampuni.....
Sawa sawaUkiona mtu anajielezea sana kuonesha legitimate yake bila umuhimu huo ujue huyo taperi au kuna kitu.
Mfano anapoelezea leseni ,tin na namba ya usajiri ,anataka kuwaaminisha watu kwamba yeye ni legal registered na wakuaminika.....
Huyo fanya utafiti wa kutosha kwanza.kitenfo cha kutoa comment maana yake kuna watu wamepata changanoto yao so hawataki muuijue........obvious wengi ni mataperi wanaotoa comment panel
Umetufungua macho...Kuwa makini Sana kuna kampuni ya viwanja huu ni mwaka wa nne tuna kesi nao jumla ya watz 200 Dar, Arusha, Dodoma tumeliwa zaidi ya bilioni moja, Mimi nimeliwa milioni 6 kuna watu hadi milioni 30 wameliwa. Wamelipia viwanja kupewa mtihani wanapewa viwanja vya watu. Mmiliki wa kampuni kala hela za wateja na ajawalipa wamiliki wa viwanja. Alikuwa anawalipa robo, wengine sound atawalipa ajafanya malipo kwa wamiliki wa mashamba anaanza kuuza viwanja. Kampuni inaitwa VKP investment for youth development mmiliki jina Yona ajulikani alipo.
So hizi kampuni za viwanja au ya kuagiza magari eti unalipa nusu au robo unaagiziwa gari kisha likifika utaendelea kulipa kidogo kidogo.
Chunga Sana. Mswahili ajawahi kuwa seriously kwenye biashara.
Kabla ya kufanya maamuzi ya nusu bei fanya tafiti sana.
Nb sio kampuni zote ni wezi but chunga Sana.
Mimi nilikua mfanyakazi kwenye kampuni hii ni matapeli. Unauziwa plot ambayo wao awaimiliki.Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi yaView attachment 2065867View attachment 2065869 kuwasiliana kwa namba za simu tuu.
Kampuni inajitanabaisha kua imesajiliwa brela na ina leseni ila kinachotia waisiwasi ni kwa nn wanalimit coments za wateja ambao wengi huleta mrejesho au hisia zao kuhusu kampuni hiyo na huduma zake?
Naomba kama kuna mdau ambaye alishafanya biashara ya viwanja na hawa watu atupe mrejesho.
Kiongozi Mimi Huyo mmilki wa hiyo kampuni iliyowazurumu viwanja hapo juu ndio kaanzisha kampuni mpya inayoitwa cdqlink.Kuwa makini Sana kuna kampuni ya viwanja huu ni mwaka wa nne tuna kesi nao jumla ya watz 200 Dar, Arusha, Dodoma tumeliwa zaidi ya bilioni moja, Mimi nimeliwa milioni 6 kuna watu hadi milioni 30 wameliwa. Wamelipia viwanja kupewa mtihani wanapewa viwanja vya watu. Mmiliki wa kampuni kala hela za wateja na ajawalipa wamiliki wa viwanja. Alikuwa anawalipa robo, wengine sound atawalipa ajafanya malipo kwa wamiliki wa mashamba anaanza kuuza viwanja. Kampuni inaitwa VKP investment for youth development mmiliki jina Yona ajulikani alipo.
So hizi kampuni za viwanja au ya kuagiza magari eti unalipa nusu au robo unaagiziwa gari kisha likifika utaendelea kulipa kidogo kidogo.
Chunga Sana. Mswahili ajawahi kuwa seriously kwenye biashara.
Kabla ya kufanya maamuzi ya nusu bei fanya tafiti sana.
Nb sio kampuni zote ni wezi but chunga Sana.
Bora umeleta na ushahidi kidogo tujue?Kiongozi Mimi Huyo mmilki wa hiyo kampuni iliyowazurumu viwanja hapo juu ndio kaanzisha kampuni mpya inayoitwa cdqlink.