Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Matini ya Kiarabu hakuna sehemu inasema Waraqah alikuwa Padri.

Kingine mavazi ya kirumi katika matini ya Kiarabu haisemwi kuwa ni mavazi ya Kikatoliki. Maneno kwenye mabango uliyo yaweka ni yako wewe au huko uliko nukuu.

Nasubiri ushahidi Toka katika vitabu vya asili kuonyesha Waraqah alikuwa Padri mkatoliki na Mama Khadija alikuwa Mkatoliki.

Kingine usiwe unaweka habari ndefu isiyo jibu swali au hoja ya aliye dhidi yako.
 
Je hilo swala la kutumia hiyo alama tunapata wapi katika Source za kiislamu kuwa ni amri au Maelezo kutoka kwa Allah ?

Je Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah) amewahi kutumia au kuamrisha jambo hilo ?

Kama hilo jambo halipo katika halo hizo basi jua kwamba limewekwa kwa matamanio ya nafsi za watu na sio dini.Hapo moja kwa moja hoja yako ni nyepesi na dhaifu.
 
Unachekesha Sana ,Kama unabisha hawakuwa wakatoliki

Nilitegemea useme walikuwa Dini gani

Hata waislamu wenzako watakushangaa

Bi Khadija ametokea Catholic pamoja na Waraq
 
Jitahidi usome Sana hasa historia ,usijifungie kwenye Quran tuView attachment 2612808
Hapa unainyesha wewe ndiyo siyo msomaji. Hayo maneno ya kwenye mabano hayana usahihi. Nani alikwambia Ukristo ni ukatoliki ?

Kingine huyo muandishi aliandika nini katika Qur'aan maana kinachonukuliwa ni kama Qur'aan yote ameandika yeye, na huna ushahidi unao onyesha ya kuwa aliandika nini ?

Kingine Mtume alikuwa na waandishi zaidi ya watatu, kwanini anatajwa huyo na hamuweki ushahidi aliandika nini katika Qur'aan ?

Ukiangalia picha unazo linganisha ya Tasbihi na Huo msalaba, katika Uislamu hakuna mambo hayo, hayo mambo yameletwa baadae na watu walio kuja kuingia katika Uislamu.

Yaani bado hujaonyesha ya kuwa Uislamu ulianzishwa na Ukatoliki.
 
.

Fafanua how islam allied with Hitler na hiyo salvation by works ?

Nazi wa Katoliki waliwalazimisha Wayahudi kuwa Wakatoliki la sivyo wafe:

“Hitler pia alikuwa tayari kuzungumza na Askofu maoni yake juu ya swala la Wayahudi: “Kwa upande wa Wayahudi, ninaendelea na sera ileile ambayo kanisa la Katoliki lilichukua kwa miaka mia tano, wakati lilipowaona Wayahudi kama watu wa Hatari na kuwasukumia katika mageto [ghettos] nk, kwa sababu lilijua jinsi Wayahudi walivyokuwa. Mimi siweki mashindano juu ya dini, lakini ninaona hatari kwa wawakilishi wa mashindano haya ya Kanisa na Serikali, na labda ninafanya Ukristo kuwa huduma kubwa.” —(The Nazi Persecution of the Churches” by J.S. Conway, Pgs. 25, 26 & 162).

Waislamu pia huwalazimisha Wakristo kuwa Waislamu la sivyo wauawe
 
Utaelewa taratibu tu

Muhammadi Baada ya kutungiwa mashahiri na wale mapadri wa kanisa katoliki la Rumi; padri BAHYRA na Padri WARAQ bin NAUFAL na sister khadija: akawauliza, mumeyatowa Wapi haya [emoji780][emoji780][emoji780][emoji780][emoji780][emoji780][emoji780][emoji780]
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]


Wakajibu"" Hakika haya yamo katika vitabu vya kale vilivyo tangulia, yaani
Vitabu vya Ibrahimu na Musa
[emoji1371] Qur'an 87:19 inaripoti hivyo [emoji845]
[emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810][emoji810]
 
1.Kusoma kwa makini katika chanzo vya kuaminika
2.Fanya utafiti bila kukurupuka na kutoa hitimisho.
3.Elimu

Waislamu waliishi na Wayahudi Pamoja na Wakirsto madina enzi za Mtume Muhammad (upon him be peace and blessings of Allah)kwa miaka Mungu huku wakipewa ulinzi na uhuru wa kuabudu .

Sasa hilo la kulazimisha kuwa Waislamu la sivyo wauwawe moja kwa moja mbona halipo na umezua ?
 
Kwamba limewekwa kwa matamanio ya watu? Hao watu kina Nani?


Hao watu ndio waanzilishi wa Dini ya Uislamu

Si ndio nyie huwa mnasema dini yenu haijachakachuliwa?
 
HIVI UNAJUA KWANINI MUHAMMAD ALIWACHUKIA SANA WAYAHUDI?

QURAN NA HADITH ZIMEJAA AYA ZA KUWACHUKIA WAYAHUDI


HojaWayahudi ilikuwa ni juu ya mashaka waliyonayo, kuwa mafunuo haya ya Muhammadi hayakuwa ya kweli, Aya ifuatayo ya Qur-an maonyesha hilo.



Qur-an Al-Baarah 2:97 Ufafanuzi uk 24 aya 97 hapa wayahudi

wanampinga Malaika Jibril ambaye ndiye aliyeleta mafunuo hayo kwa Muhammad.



Hata Ibada va ijumaa inatokana na ugomvi wa Wayahudi na Muhammad.,Wayahudi walimwambia Hiyo Ibada ya Kuswali Ijumaa amejitungia



- Kutokana na hali hiyo mahusiano baina ya Muhammad na Wayahudi yaliharibika,



Fuatilia katika aya zifuatazo:-



Qur-an 5_:82 Maadui wa Uislam ni Wayahudi

Qur-an 2:I04 [Ufafanuzi] Wayahudi walihitirafiana na Muhammad na kurushiana maneno.



Tangu hapo Muhammad hakupenda kamwe kuwiana na kile wanachofanya wayahudi katika mifumo ya kidini, na ndipo anaitangaza rasmi siku ya ljumaa kama siku ya sala katika Ummah wa Kiislam wakati huo akiwa Yathrib (Madina),
 
Huwezi kuona maana umeamua kuwa mfia Dini ,siku ukitoka nje ya box huwez Kubaki kwenye Uislamu
 
Kanisa siyo mkusanyiko wa waumini.
Kanisa ni roho yako, na kiongozi wake ni kristo
Wewe toka Jana nilianza kukupuuza maana sijui uelewa wako Ni mdogo au una shida gani ...

Hujui hata Kanisa maana yake Nini? Sasa wewe Ni mkristo kweli? Nyie ndio hawa mwamposa anawauzia maji na udongo na yeye anajenga mahoteli mbeya .


Neno “kanisa” maana ya asili yatoka kwa neno la Kiyunani ekklesia lili lo na maana ya “kusanyiko” au “walioitwa.”

Maana ya asili ya “kanisa” sio ile ya jengo, bali ni watu.



Warumi 6:5, yasema, “…salimia kanisa linalokutana kwa nyumba.


Paulo anaashiria kanisa lilo katika nyumba yao- si jengo la kanisa bali mwili wa washiriki.
 
Kwahiyo wewe unaunga mkono machafuko na watu kuuana.?
Aliyekudanganya wanafanya Amani na kupatana Nani?

Jesuits ndio mainjinia wa vikundi vya Ugaidi huko Uarabuni unalijua Hilo


1 Wathesalonike 5:3



Wakati wasemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, kama vile uchungu umjiavyo mwenye mimba, wala hakika hawataokolewa
 
Basi nachelea kusema bado unasafi ndefu Sana

Uislamu ,Ukristo ukiongozwa na Catholic na Uyahudi wanaunda dini Moja bandia

Shida nyie wafuasi hamuelewi mmebaki wafia dini tu
 
Bado huna Elimu kuhusu kafara ya Yesu ,unahitaji ufundishwe

Ndio maana kwenye Ukristo utaelezwa kwanini Ibrahimu aliambiwa amtoe Isaka Sadaka ,Kuna sababu, kwanini pia Wana wa Israeli walikuwa wanatoa Sadaka za kuteketezwa

Uta connect dot utaelewa vzr

Kwenye Uislamu unaambiwa Sadaka alikuwa ishamael ,lakin hakuna correlation yoyote

Kwenye Ukristo unakuja had kuipata Kafara ya Yesu ambaye ndiye ondoleo la Dhambi
 
Asiyekuwa na mwana ,Mwenye kuundesha ulimwengu wote ,kuleta Mvua, jua giza ,aliyemuumba Adam na mwenye kukusanya sifa zote za ukamilifu.
mungu kwenye Uislamu ana makandokando mengi Sana

Allah Ni Huyo Huyo aliyeabudiwa na wapagani pale macca
 
Labda Kama unamuongelea Isa


Ila Yesu yule mnazareth aliyetabiriwa na manabii huwezi kumkuta kwenye Uislamu na Quran
 




UJINGA KATIKA DINI YA MOOD.

QURAN 34.44
QURAN 62.3
Quran 16.43.
Quran 16.125

Hizi Aya zoote zinakiridini/Imani ya UKRISTO na UYAHUDI vitabu vyao vilitanguli kabla Ya uislamu.

WAO WATAKWAMBIA MANABII WOTE NI WAISLAMU. NJE YA QURAN HAKUNA UISLAMU.

JARIBUNI KUAMINI VITABU VILIVYO TANGULIA.

Agano la kale katika Biblia limeandikwa miaka zaidi ya 3200 iliyopita wakati Agano Jipya limeandikwa miaka 2000.

Hiyo Quran imeandikwa miaka 1400 iliyopita.

Ukiwa na akili tu lazima ujuwe ni kipi kitabu cha ukweli.

WITO WA UKRISTO NI KUOKOA WALE WALIOPOTE.
UFUNUO UNAITA DINI HIYO NI SHIMO LA KUZIMU
 
🤣🤣 Yani una google alafu unaileta hapa kama ilivyo alafu unajiita unaakili ya kuchanganua hoja.


Soma hapa maongezi kati ya Yesu na mwanamke msamaria... Alafu jaribu kutafakari uone kama unapata kitu.
Yohana 4:19
Yule mwanamke akamwambia, Bwana, naona ya kuwa u nabii!

Yohana 4:20
Baba zetu waliabudu katika mlima huu, nanyi husema ya kwamba huko Yerusalemu ni mahali patupasapo kuabudia.

Yohana 4:21
Yesu akamwambia, Mama, unisadiki, saa inakuja ambayo hamtamwabudu Baba katika mlima huu, wala kule Yerusalemu.

Yohana 4:22
Ninyi mnaabudu msichokijua; sisi tunaabudu tukijuacho; kwa kuwa wokovu watoka kwa Wayahudi.

Yohana 4:23
Lakini saa inakuja, nayo sasa ipo, ambayo waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba awatafuta watu kama hao wamwabudu.

Yohana 4:24
Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.

Yohana 4:25
Yule mwanamke akamwambia, Najua ya kuwa yuaja Masihi, (aitwaye Kristo); naye atakapokuja, yeye atatufunulia mambo yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…