Ukweli kuhusu Kanisa Katoliki kuanzisha Dini ya Kiislamu

Nikweli wakatoliki wananguvu ndiyo maana baadhi ya mafundisho yake ya kipagani utayakuta kwa waprotestanti karibu wote mfano kitu kinachoitwa Utatu.
Hata X mass, Easter , Kwaresma

Nachekaga Sana unakuta kina mwamposa wanaadhimisha Easter ,X mass, Wanafundisha Trinity ,n.k halafu hawajui misingi yake Ni wapi
 
Ndio maana Yesu alituachia roho mtakatifu

Kazi ya kukuelekeza njia sahihi Ni Ya Roho mtakatifu

Ukiona mtu anakufa kwenye dhambi ujue alimfungia vioo Roho mtakatifu na hiyo wanatheolojia wanasema ndio Dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu
 
Wakati Marehemu Papa Benedict xvi akitoa wito wa kuleta ‘haki na amani’ duniani, chuo kikuu cha Kiislamu (Sunn Al - Azhar University) kimetoa shukrani kwa Vatican kutokana na juhudi za kanisa Katoliki kwa kukemea vitendo vinavyoashiria uvunjifu wa amani duniani, kutetea imani za watu wote pamoja na kuziwezesha dini zote kutumia alama na nembo kama utambulisho wa dini husika.


Akihojiwa na waandishi wa habari, Mahmoud Azab ambaye ni mshauri wa Sheikh anayesimamia kitengo cha mahusiano ya kidini (interfaith Dialogue) katika chuo kikuu cha Al-Azhar, aliwashukuru wote wanaotetea ukweli na heshima ya dini. Mahmoud Azab alikuwa akijibu hotuba iliyotolewa hapo kabla na msemaji wa Vatican Fr. Federico Lombardi. Kwa nini Mahmoud atoe shukrani kwa Papa kutokana na matumizi ya alama/nembo katika dini?

Unaweza kuchunguza alama/nembo kwenye jengo la chuo kikuu cha Al-Azhar na jengo alipokaa Papa Benedict xvi akihutubia baraza la haki na amani Vatican.

NB:Nashindwa ku upload picha
 
Kanisa ni ushirika kwa ajili ya nia ya kuungana Ili kumuabudu Mungu usipoenda kanisani utapata wapi ushirika.
Kanisa maana yake sio Jengo ,Ni mkusanyiko wa waumini

Hata mkiwa wawili chini ya mti mkaemdesha ibada ,Ni kanisa
 
Ndio maana Yesu alituachia roho mtakatifu

Kazi ya kukuelekeza njia sahihi Ni Ya Roho mtakatifu

Ukiona mtu anakufa kwenye dhambi ujue alimfungia vioo Roho mtakatifu na hiyo wanatheolojia wanasema ndio Dhambi ya kumkufuru roho mtakatifu
Mungu asituadhibu kwa makosa tuliyofanya bila kujua. Unaposema mtu akifa kwenye dhambi ni kwamba alimfungia vioo roho mtakatifu, mi kikawaida nitajuaje kwamba nimefungia vioo?
 
Ukristo wa ukweli ni upi sasa?
Pentecostal au orthodox
Ukristo wa Kweli Ni UPROTESTAST HALISI ,Kumbuka Kuna UPROTESTAST ULIOASI


NI chama cha Prieure de Sion (Priory de Sion) kilichoanzishwa na familia ya 11 ya Illuminati inayoitwa Freeman Illuminati bloodlines ndicho kilichosababisha kuanzishwa kwa

‘Uprotestant’ au ‘Upinzani’ ndani ya dini.

Wakainuka mashujaa wengi waliopinga mafundisho machafu yaliyoingizwa ndani ya imani ya kweli ili kutetea neno la Mungu litawale tofauti na mafundisho yaliyo maagizo ya wanadamu.

Miongoni mwa mashujaa walioinuka kupingana na mafundisho ya chama cha Prieure de Sion alikuwa Martin Luther,Calvin, Jonh Knox, Sir Isack Newton, n.k.


Kumbuka kwamba wapinzani ‘Protestants’hawa walikuwa wanapinga mafundisho wakiwa ndani ya mifumo ya dini zao.

Hata hivyo hawakufanikiwa kuleta matokeo mazuri ya upinzani wao na hivyo wakaamua kutoka na kujitenga na dini wakiwa na baadhi ya mafundisho machafu waliyoyarithi kutoka kwenye mifumo potofu ya kidini.

Wakiwa wamejitenga, sasa waliamua kufanya ‘matengenezo’ kwa lengo la kuondoa mafundisho machafu na kubaki na mafundisho safi kama ilivyoagizwa na Mungu.

Hivyo jina lao wakaitwa‘Reformers’ au ‘Wanamatengenezo’ badala ya ‘Protestants’ au ‘wapinzani’.‘Waprotestants’ wa awali walijua maana ya kanisa na ndio maana hawakuona shida kujitenga na mifumo iliyokuwa inadhaniwa kuwa ndiyo kanisa
 
Jesuits walikuwepo karne ya 7? Mnakulaga mavi au nini? Mbona wajinga sana? 🤣
 
Ukuaji wa kasi wa Uislam unakusaidiaje katika maisha yako?
 
Kumbe Sir Isaac Newton naye alikuwa mfuasi mwaminifu wa Yesu Kristo?
 
Mungu asituadhibu kwa makosa tuliyofanya bila kujua. Unaposema mtu akifa kwenye dhambi ni kwamba alimfungia vioo roho mtakatifu, mi kikawaida nitajuaje kwamba nimefungia vioo?
Hujawahi kupata hatia ya dhambi? Ile hatia Basi ni Roho wa Mungu anakusihi utubu


Tatizo tunapuuzia Sana

Pia Shetani Ni muongo Sana huwa anakatisha tamaa anakwambia huwez kusamehewa

Unakuta umetoka kuzini ,umemaliza unaanza kujutia ,Pale pale Tubu ,Mungu anakusamehe


Ila shetan atakwambia husamehewi ,anakuletea na list ya Dhambi zako zote ,lengo lake ufie kwenye Dhambi


Hi ndio Tofauti ya Daudi na Sauli

Kwa mujibu wa Biblia ukiwasoma Utakuta Daudi ndiye kavurunda Sana kuliko Sauli ,lakini kwanini MUNGU anamkubali Sana Daudi kuliko Sauli ? Daudi hakuwaga mnafiki akikosea ,


Hadi mbinguni Mungu kampa mtaa , MJI WA SAYUNI
 
Jesuits walikuwepo karne ya 7? Mnakulaga mavi au nini? Mbona wajinga sana? [emoji1787]
Usitukane aisee, Tunajua Majesuit wamekuja lini ,

Majesuit wamekuja baadae sana Ni kweli ,lakini waliletwa kwa malengo maalumu ,na Hadi leo Wanatekeleza ajenda ,zikiwepo hizi za kuwagombanisha Waarabu
 
Kumbe Sir Isaac Newton naye alikuwa mfuasi mwaminifu wa Yesu Kristo?
Huyu mwamba alikichambua kitabu Cha Daniel chote kuliko hata Physics na Mathematics

Aliwasema wazi wazi Roman Catholic ,

Majesuit walianzishwa kufifisha kazi ya hawa wanamatengenezo ,ndio maana Huwezi kusikia leo Makubwa aliyofanya Newton kwenye dini
 
KWA WALE WANAO ULIZA WAPI NI SALAMA.

UFUNUO 12: 17.

Joka akamkasirikia yule mwanamke, akaenda zake afanye vita juu ya wazao wake waliosalia, wazishikao amri za Mungu, na kuwa na ushuhuda wa Yesu....

Hili ndio jambo la MSINGI kabisa.

1. Kuzishika AMRI za Mungu 10
AMRI za Mungu zile kumi 10 ni zile zile.
Mgawanyiko wa AMRI za mbili ni kutimiliza TORATI.

AMRI 1-5 ni za Mungu
Mpende Bwana Mungu wako.

AMRI 6-10. Ni za wewe na JIRANI YAKO na NAFSI yako.
Mpende na JIRANI YAKO.


USHUHUDA WA YESU KRISTO NI KUMKIRI BWANA NA MOKOZO WA MAISHA YETU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…