Jackwillpower
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 2,467
- 3,687
- Thread starter
- #81
PAPA FRANCIS AOMBA MASAMAHANdio maana nasema hamnaga akili Tyndale kwanza ni mtu hakuwa ata na maarifa ya kutisha. Alafu King Henry VIII mwenyewe baada ya kujua tafsiri zake ni potofu aliban na kuchoma bibilia zilizotafsiriwa na tyndale. Mwisho Tyndale alikufa mikononi mwa secular authorities sio kanisa nyamaf. Hamsomi mnabeba beba ujinga. Wapotoshaji, mawakala wa master of deceiption shetani.
Papa Francis awaomba radhi Waprotestanti ,BBC WANARIPOTI
26 Januari 2016
Katika hatua ya kujumuisha umoja wa kikristo, Papa Francis amewaomba radhi waumini wa Kiprotestanti kutokana na unyanyasaji walioupata kutoka kanisa Katoliki miaka ya nyuma.