Sawa sawa. Je catholic wanamfuata Yesu au hawamfuati? Jibu mtumishi
Tafuta amli kumi za Mungu.
Kama wanazifuata basi watakuwa wanamfuata Yesu.
Mimi siwezi kuwajibia ngoja Biblia yenyewe ijibu kama wanazifuata.
TUANZE NA HIZI TANO AMBAZO NI SAWA NA MOJA YA KUMPENDA MUNGU YA YESU.
2 Mimi ni Bwana, Mungu wako, niliyekutoa katika nchi ya Misri, katika nyumba ya utumwa.
3 Usiwe na miungu mingine ila mimi.
Kutoka 20:3 . HAWAFUATI. ( 1 )
4 Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia.
Kutoka 20:4 HAWAFUATI ( 2 )
7 Usilitaje bure jina la Bwana, Mungu wako, maana Bwana hatamhesabia kuwa hana hatia mtu alitajaye jina lake bure.
Kutoka 20:7
8 Ikumbuke siku ya Sabato uitakase.
Kutoka 20:8
10 lakini siku ya saba ni Sabato ya Bwana, Mungu wako, siku hiyo usifanye kazi yo yote, wewe, wala mwana wako, wala binti yako, wala mtumwa wako, wala mjakazi wako, wala mnyama wako wa kufuga, wala mgeni aliye ndani ya malango yako.
11 Maana, kwa siku sita Bwana alifanya mbingu, na nchi, na bahari, na vyote vilivyomo, akastarehe siku ya saba; kwa hiyo Bwana akaibarikia siku ya Sabato akaitakasa.
Kutoka 20:11
HAWAFUATI (. 3 )
KATIKA AMRI YA KWANZA YA KUMPENDA MUNGU AMRI 5 WAMEFELI AMRI 3.