Ni ukweli ulio wazi UKATOLIKI NDIO UMEANZISHA Uislamu
kanisa katoliki hujifanya kuamini Biblia, lakini wanafundisha mapokeo yasiyo ya kibiblia. Kwa sababu Ukatoliki ni roho ileile na Uislamu, hii ndiyo sababu waislamu pia haiwaikanushi Biblia kwamba sio kitabu cha Mungu, badala yake nao wanajifanya kuiamini Biblia, lakini wanafundisha madogima ya kanisa katoliki kama yalivyoandikwa kwenye korani ambayo yanapingana vikali na hayopo kwenye Biblia wanayojidai kuiamini. Je unaweza kuniambia ni kwanini wote wakatoliki na waislamu hawaikatai Biblia, bali wanajifanya kuamini Biblia, lakini wanafundisha madogima ya korani? Ni kwa sababu shetani anapenda kuchanganya uongo na ukweli, ili kuteka roho za watu, anajua kama akiitofautisha Biblia kutoka kwenye korani uongo wake utakuwa wazi. Hii ndiyo njia anayotumia kupofusha roho nyingi kwa kuchanganya ukweli na uongo.