Ukweli Kuhusu Kinywaji cha Ali Kiba Mofaya

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Pongezi kwa Ali Kiba kwa kuingia kwenye biashara,iwe ni ya ubalozi au umiliki cha msingi ni kujua umuhimu wa uwekezaji kwenye biashara.

Nimeona watu wakianza kupotosha umma na kuanza kujikweza na kuanza kuponda wengine kwa kusema Ali ndio mmiliki halali na sio balozi wa hicho kinywaji
lakini ni vyema watu hao wakafahamu kuwa MOFAYA ni Kinywaji kinachomilikiwa na Kampuni ya South Africa na wana product mbali mbali za kinywaji hicho ikiwemo Mofaya Premium,Mofaya Carb O,Ultimate....
SOMA NA HII PIA........South African radio DJ, recording artist and television presenter DJ Sbu has created a new energy drink brand called MoFaya.

Writing about the new drink on Facebook, the entertainer said: “#MoFaya to burn & melt all the NONSENSE in these fridges. Skhathele. Finally a local BRAND is here.

“#MoFaya has been 3 years in the making. Making sure we comply with all the health standards & regulations.”

The new energy drink was founded by a team of eight South Africans, with a collective 97 years of working experience, and every can sold will go towards educating a child in the region.

“#MoFaya will take at least 100 students to university/year starting 2016 & create at least 100 entrepreneurs/province per year.”
 
hakuna ubaya kiongozi ila naona kuna jamaa wameanza kujiona wako juu sana huku wakitupa kijembe kwa hashtag [HASHTAG]#NoUbalozi[/HASHTAG]
Sawa achana nao!kila mtu apambane na hali yake!

BTW umeliona bata la WCB....?!!!!
 
Watanzania tuna roho mbaya sana....yaani roho zetu zinaumia sana tunapomuona mwenzetu anapiga hatua kujikwamua......haya mambo yapo kuanzia majumbani mpaka maofisini...ni roho za ajabu sana.....

Labda tu niwakumbushe vijana kuwa chuki dhidi ya waliofanikiwa au kupiga hatua mbele kwenye maisha yao hakiwezi kuboresha maisha yako badala yake ni kwamba kujifunza kupitia wao au kujikita kwenye mambo yako yanayokuletea mkate wa kila siku........
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]Sawa ila kwani kuna ubaya?
Wabongooo siwawezi!!!
Hivi vitu mnavitengenezaga wenyewe kupitia hizo timu zenu..!
Diamond kaanzisha TV,kuna watu(timu Kiba) wakaja kusema ni ya Kusaga,Perfume ni ya Kusaga,mara oooh Diamond ni balozi tu hana project yake mwenyewe..!

Leo Ali Kiba kaja na kinywaji mnategemea timu Diamond watapongeza tu..!?

Ahahaaaah,sidhani kama inawezekana..!
 
hakuna ubaya kiongozi ila naona kuna jamaa wameanza kujiona wako juu sana huku wakitupa kijembe kwa hashtag [HASHTAG]#NoUbalozi[/HASHTAG]
Ila wewe jamaa, limbwata la chaijaba naona limekukamata kikamilifu. Hata kama unakula kwake, sio kwa shobo hili. Unakuwa na chuki kaliiiiii kwa kila unaeona anataka kumpiku DOMO, watu waache kuishi au kufanya vitu kwa kuwa tu watampiku DOMO ?

- Unaleta thread za kuponda mara ASLAY, mara KIBA, mara DARASA

JINGALAO!
 
Mi sielewagi huu ubalozi maana yake nini? Nasikia tu; huyu balozi wa diapers yule balozi wa makatapela, na hii ni Bongo tu. Hivi hii inakuwaje? Naomba ufafanuzi.
 
Nitaftie hizo Sred nizikumbuke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…